Una nafasi gani(kiutawala) ofisi ya utumishi??Waliona kwamba kazi haikuwa imefanywa kwa uaminifu, kwa hiyo watumishi wengi waliokuwa na vyeti fake walibaki.Hiyo ilikuwa na maana kwamba bado actual requirement ya watumishi waliohitajika kuajiriwa ilikuwa haifahamiki.Let's hope that that will not be the case this time around.
Utabainika tu eventually.Hakuna utani katika awamu hii.Mbona nashindana na nimeshinda,hio kidogo ninayopata sifanyi kazi hivyo napokea ya bure,wala sina haja ya kutumia nguvu kwenye kazi yangu.
Hilo sio la muhimu mkuu.Una nafasi gani(kiutawala) ofisi ya utumishi??
Mkuu yataboreshwaje kama bado watumishi fake wapo?Mimi naamini Rais ana nia njema na watumishi halali,ila Utumishi walimuangusha katika uhakiki wa mwanzo.Frankly zoezi halikufanyika vizuri.Let's hope it will be done correctly this time around kwa kuwa vyombo vya dola vimehusishwa.Maslahi ya watumishi je?
Serikali ya hovyo kabisa kuwahi kutokea.
Hivi unamfahamu Makonda wewe.Nadhani humjui.Bashite akisalia basi huo uhakiki utakuwa batili.
inaonekana hata mkuu mwenyewe anamuogopa?Hivi unamfahamu Makonda wewe.Nadhani humjui.
Utabainika tu eventually.Hakuna utani katika awamu hii.
ujiandae kunywa balimi ama viroba vya kupima 500 au 1000 utaridhika mkuu.Hali hii itakuwa ni ya hatari na itaitingisha nchii maana mzee mwenye mjengo wake tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
stress Kwa watumishi...kama vyeti vinaakisi msisahau polisi na jeshiKama mada inavyojieleza hapo juu
Serikali ya JMT imeanza tena lile zoezi la kuwahakiki upya watumishi wake ambapo kwa awamu hii imedhamiria kuwadaka wale wote walioleta udanganyifu katika zoezi lililofanyika hapo awali.
Aidha katika awamu hii uhakiki huo haufanywi tena na maafisa utumishi wa idara zote za Serikali kama ilivyokuwa awali, ila tuu jukumu hilo limebebwa na kikosi kazi maalumu kilichoteuliwa na Rais wa nchi hii kikiwaunganisha baadhi ya maafisa kutoka UTUMISHI ,TISS NECTA,NACTE pamoja na TCU.
Zoezi hili limeshaanza katika taasisi mbalimbali ambapo idadi kamili ya watumishi waliobanika kufoji vyeti na kuleta udanganyifu katika zoezi la awali itaekwa bayana na mamlaka zinazohusika.
MY TAKE
Wakuu kwa uhakiki huu hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.kama ulileta ujanja ujanja mwanzoni sepa kabla hawajaja ofisini kwako.
Nitaleta idadi rasmi ya taasisi zilizokumbwa na dhoruba hili hivi punde.
Uhakiki huu uko biased sana, mbona bashite ni exclusive wakati ule wa kwanza tu ulikuwa umtoa kaziji.Kama mada inavyojieleza hapo juu
Serikali ya JMT imeanza tena lile zoezi la kuwahakiki upya watumishi wake ambapo kwa awamu hii imedhamiria kuwadaka wale wote walioleta udanganyifu katika zoezi lililofanyika hapo awali.
Aidha katika awamu hii uhakiki huo haufanywi tena na maafisa utumishi wa idara zote za Serikali kama ilivyokuwa awali, ila tuu jukumu hilo limebebwa na kikosi kazi maalumu kilichoteuliwa na Rais wa nchi hii kikiwaunganisha baadhi ya maafisa kutoka UTUMISHI ,TISS NECTA,NACTE pamoja na TCU.
Zoezi hili limeshaanza katika taasisi mbalimbali ambapo idadi kamili ya watumishi waliobanika kufoji vyeti na kuleta udanganyifu katika zoezi la awali itaekwa bayana na mamlaka zinazohusika.
MY TAKE
Wakuu kwa uhakiki huu hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.kama ulileta ujanja ujanja mwanzoni sepa kabla hawajaja ofisini kwako.
Nitaleta idadi rasmi ya taasisi zilizokumbwa na dhoruba hili hivi punde.
Wako biased sana, akina bashite jeshini wapo wengi sana.Kweli wamedhamiria, lakini ingeenda hadi jeshini na bungeni ingekuwa murwaaa.
Hilo tako unataka nikapige tena punyeto au!kama hujafoji cheti huwezi kuwa na mashaka agiza ............. JPM atalipia
kama linakuhusu am not guilt
Zoezi la kuhakiki vyeti fake ni zuri sana na naomba liwe endelevu.Yaani hiki kisingizio cha kuhakiki ndio kila mahali. ni kichaka ambacho serikali inatumia ili kukwepa majukumu yake. lakini kijamii wala siyo zoezi zuri. UDSM kuna maprofesa wameondolewa kisa cheti cha form iv!! hii ina utata mkubwa. suala la cheti cha form iv kuwa na utata haliondoi uwezo wa mtu kwamba amewezakufikia ngazi aliyofikia. kisosholojia, ilitakiwa hili zoezi lisiwepo kabisa. lakini kwa kuwa wanaosimamia hawana DNA ya ubinadamu, matokeo yake ndiyo hayo
Simuogopi Makonda,ila namjua.He is not what people think he is.inaonekana hata mkuu mwenyewe anamuogopa?