Aisee udanganyifu mkubwa ulifanywa pale kwa mtumihaeleza"....yaan mtu alienda kujiendeleza kwa cheti kisicho chake......Akapata cheo.
Ukaguzin wakwanza ,akakificha icho cheti kilichomfanya akajiendeleze[emoji23][emoji23]......kuna watu kaguzi zote zaawali walipona , ila hii sasa hamna chakupona!!!.
Wapo walotumia vyeti vyao, ila wakaenda kuvichezea kwa ma IT , chet kikasoma A A B B B......hawa nao hawaponi.
Wapo walonunua vya watu ,alafu wakavichezea kwa ma IT wakaweka majina yao..hao pia kwaheriii.
Ivi navyozungumza, Hospital moja ya mkoa mmoja hapa hapa tanzia.... Madaktar kadhaa na manesi kwa aina zao wapatao wanne ,wametemeshwa mzigo ijumaa ilopita!!!.
Aiseee Jamaa kaamua kuhusisha TISS na NECTA ,NACTE ,na TCU .... Kwasababu hiyo ......... Namim nahisi kabisa Kilichotokea Hospital hii, ndio kimefanya Zoezi lianzwe upya kwa kushirikisha Izo Taasisi nyeti.
Hata ivo ,usumbufu ni usumbufu tuuu..kufukua fukua makaburi yann bana.