Serikali kuwahakiki upya watumishi wake

Serikali kuwahakiki upya watumishi wake

Ata dhamani ya pogba imeshuka sana, ila alisajiliwa kwa bei iliyovunja rekodi

Wengi waliamini kwa bei ile na mbwembwe zake basi timu yetu ingeambulia angalau kombe 1 duh madudu anayoyafanya anaishia kuigawa timu vipande vipande.
 
Yani visa vyote hivi ni ili tu wasipandishe watu madaraja na kuongeza mishahara.
Inasikitisha sana, kuwafanya watumishi wa umma kama watoto, kila siku visababu ili tu stahiki zao wasilipwe. Miaka miwili ya uhakiki na shughuli ndio pevu sasa. Wenye madai yao wameachwa njia panda
 
Unajua Greece walianza na upuuzi kama huu huu wa kusifia mambo ya kipuuzi huku uchumi ukiwa kwenye mwanguko. Danganya wafanyakazi, chezea maisha ya watu. Danganya uchumi uko "on track" etc etc. Hatimaye wote tuliona walichokipata.

Ushauri kwa mnaojidai(nimetumia neno hilo kwa usahihi kabisa) mnampenda sana, mngemshauri abadili mwelekeo. Tunakoenda siko, msije kusema hatukuonya. We are lost. Driver please stop and lets re-align our navigation instruments before we can continue.
 
Hivi aliyeamua ' wanoko ' TISS ( Eagle Wing House ) nao wawepo katika zoezi la safari hii nani? Jamani ' nitalewa ' wapi tena Mimi ' Bia ' za bure hapa mjini?
Mbona hata uhakiki wa mwanzo walikuwepo?

Kilichoongezeka labda kwakuwa sasa hivi wamepandikizwa kwa wingi kwenye taasisi mbalimbali za serikali.

If you see new fella in you're government office watch ur ass.
 
Unajua Greece walianza na upuuzi kama huu huu wa kusifia mambo ya kipuuzi huku uchumi ukiwa kwenye mwanguko. Danganya wafanyakazi, chezea maisha ya watu. Danganya uchumi uko "on track" etc etc. Hatimaye wote tuliona walichokipata.

Ushauri kwa mnaojidai(nimetumia neno hilo kwa usahihi kabisa) mnampenda sana, mngemshauri abadili mwelekeo. Tunakoenda siko, msije kusema hatukuonya. We are lost. Driver please stop and lets re-align our navigation instruments before we can continue.
Usilalame tu,tuambie unayemuona kwa mtizamo wako wewe anafaa,ili come 2020 elections tumchague!
 
naunga mkono hoja sasa hivi serikalini kumejaa watumishi wajinga mpaka najiuliza hawa waliponaje kwenye uhakiki kitu kidogo wanakuzungusha
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu

Serikali ya JMT imeanza tena lile zoezi la kuwahakiki upya watumishi wake ambapo kwa awamu hii imedhamiria kuwadaka wale wote walioleta udanganyifu katika zoezi lililofanyika hapo awali.

Aidha katika awamu hii uhakiki huo haufanywi tena na maafisa utumishi wa idara zote za Serikali kama ilivyokuwa awali, ila tuu jukumu hilo limebebwa na kikosi kazi maalumu kilichoteuliwa na Rais wa nchi hii kikiwaunganisha baadhi ya maafisa kutoka UTUMISHI ,TISS NECTA,NACTE pamoja na TCU.

Zoezi hili limeshaanza katika taasisi mbalimbali ambapo idadi kamili ya watumishi waliobanika kufoji vyeti na kuleta udanganyifu katika zoezi la awali itaekwa bayana na mamlaka zinazohusika.

MY TAKE
Wakuu kwa uhakiki huu hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.kama ulileta ujanja ujanja mwanzoni sepa kabla hawajaja ofisini kwako.

Nitaleta idadi rasmi ya taasisi zilizokumbwa na dhoruba hili hivi punde.

Leta SOSI ya taarifa hii
 
Tulieni chapeni kazi. Kwanza chukueni mikopo muendelee kujiimarisha ki uchumi. Crdb wameongeza hadi miezi 84, nmb hadi 72. Dakeni mpunga
 
Back
Top Bottom