Ndio mkuu naweza. Mbona nkipindi flan cha nyuma nilivuka mto wenye lava ya volcano kwa kuogelea! Ije iyo kulikumbatia jiko la mkaa?Mkuu unaweza kulikumbatia jiko la mkaa lililokolea moto kisawasawa?
Ndio mkuu naweza. Mbona nkipindi flan cha nyuma nilivuka mto wenye lava ya volcano kwa kuogelea! Ije iyo kulikumbatia jiko la mkaa?Mkuu unaweza kulikumbatia jiko la mkaa lililokolea moto kisawasawa?
Hivi TISS wenyewe hawawezi kuwa na vyeti feki?Hivi aliyeamua ' wanoko ' TISS ( Eagle Wing House ) nao wawepo katika zoezi la safari hii nani? Jamani ' nitalewa ' wapi tena Mimi ' Bia ' za bure hapa mjini?
ANGALIZO..BEN aliuza kama weweKwanini wasianze na hiyo PhD ya korosho ya miaka miwili na nusu??¿
Makonda hatumfahamu ila Bashite tunamfahamu vizuriHivi unamfahamu Makonda wewe.Nadhani humjui.
NDUGU yangu hii series uliyoionyesha hapa bado hujaimaliza. Hivi aliepata PhD hewa anaweza kuwa Profesa? Au tusubiri atunukiwe uprofesa ili afungwe kwa kuwa na PhD hewa? nauliza tuZoezi la kuhakiki vyeti fake ni zuri sana na naomba liwe endelevu.
Profesa amefoji cheti cha form 4 ?
siyo afukuzwe kazi tu bali hata huo uprofesa anyang'anywe,kama alifoji form 4 basi hata cheti chake cha form 6 ni batili kwa sababu alikosa sifa ya kuingia kidato cha 6 tena afungwe kabisa awe mfano kwa wengine wanaofiria kufoji
Sasa mbona unachijanganya, hujui kwamba kutoA TAARIFA ZA UONGO ni kosa la jinai na adhabu yake waweza hata kufungwa jela? Be logical bwana!Hili zoezi lishakosa kabisa umaana na uhalali kwani wale walio well connected wako salama salmin ila wale wenye "Loose or Poor Connection" ndio kiama chao.
Kuna wengine wameondolewa kisa, sio kuwa na vyeti feki, ila eti kutoa taarifa ya uongo kuhusu elimu yao!!!
Pamoja na haki wanayoweza kuwa nayo serikali ktk kuhakikisha usahihi wa sifa za watumishi wake lkn lengo kiujumla la hili zoezi sasa linatia mashaka pale linapoonekana kuwa na ka-uonevu uonevu fulani ndani yake.
Kuna watu wamefumbiwa macho kwa visingizio kadhaa vya kijinga kijinga tu na hata taasisi fulani ambapo wangepatikana "Wahanga" wengi, zimeachwa bila kuguswa...!!!
Hili zoezi ni moja tu ya zile kadhaa zinazoanzishwa kwa malengo yasiyoeleweka "Vague Intent" huku dhumuni halisi likiwa "Time buying techniques" pale serikali inapokuwa haina fedha za kutekelezea majukumu yake fulani fulani hasa yanayohusu taasisi zenye kulengwa na hizi "Unfair Crackdowns".
Sasa mbona unachijanganya, hujui kwamba kutoA TAARIFA ZA UONGO ni kosa la jinai na adhabu yake waweza hata kufungwa jela? Be logical bwana! Kama wameonewa wanayofursa ya ku-appeal na kuonyesha hizo real documents. Tatizo tuendekeza mno hear says kuliko kutafuta ukweli upoje
Sasa ni kiama cha kila mwenye cheti fake,na Mungu akipenda baadae na kila asiye deliver.Hili zoezi lishakosa kabisa umaana na uhalali kwani wale walio well connected wako salama salmin ila wale wenye "Loose or Poor Connection" ndio kiama chao.
Kuna wengine wameondolewa kisa, sio kuwa na vyeti feki, ila eti kutoa taarifa ya uongo kuhusu elimu yao!!!
Pamoja na haki wanayoweza kuwa nayo serikali ktk kuhakikisha usahihi wa sifa za watumishi wake lkn lengo kiujumla la hili zoezi sasa linatia mashaka pale linapoonekana kuwa na ka-uonevu uonevu fulani ndani yake.
Kuna watu wamefumbiwa macho kwa visingizio kadhaa vya kijinga kijinga tu na hata taasisi fulani ambapo wangepatikana "Wahanga" wengi, zimeachwa bila kuguswa...!!!
Hili zoezi ni moja tu ya zile kadhaa zinazoanzishwa kwa malengo yasiyoeleweka "Vague Intent" huku dhumuni halisi likiwa "Time buying techniques" pale serikali inapokuwa haina fedha za kutekelezea majukumu yake fulani fulani hasa yanayohusu taasisi zenye kulengwa na hizi "Unfair Crackdowns".
Ni kweli mkuu.Wasisahau na majeshi yetu yote.
Huko watu wanatumia vyeti vyeti sana tu.
Hivi TISS wenyewe hawawezi kuwa na vyeti feki?
Yani visa vyote hivi ni ili tu wasipandishe watu madaraja na kuongeza mishahara.
Wasiishie kwenye vyetu tu.....waangalie na elimu/maarifa ya muhusika.....kuna wengine wana PhD zenye walakini