baasi umemaliza. Hili ndilo jibu. Daaah tuvumilie tu.Yani visa vyote hivi ni ili tu wasipandishe watu madaraja na kuongeza mishahara.
@Kiranga ndio umesemaje hapaGore Vidal, the prolific American writer, had a book called "Perpetual War for Perpetual Peace: How We Got To Be So Hated".
This perpetual exercise is sounding like that.
It is way past what economists call " the point of diminishing returns".
Mawazo yako yana ukweli 100%Yani visa vyote hivi ni ili tu wasipandishe watu madaraja na kuongeza mishahara.
Serikali inapigana vita isiyoisha ili kupata amani isiyoisha na inatengeneza uadui na watu kwa biashara ambayo faida yake ilishaisha muda mrefu uliopita.@Kiranga ndio umesemaje hapa
Nimekusoma KirangaSerikali inapigana vita isiyoisha ili kupata amani isiyoisha na inatengeneza uadui na watu kwa biashara ambayo faida yake ilishaisha muda mrefu uliopita.
Inanikumbusha kitabu kimoja kiliandikwa na muandishi maarufu wa Marekani anaitwa Gore Vidal, kinaitwa "Vita isiyoisha ili kupata amani isiyoisha: Tumewezaje kuchukiwa hivi".
Gore Vidal aliandika kitabu hicho kukosoa ubabe wa serikali ya Marekani kila siku inapigana vita isiyoisha (enzi za Bush hizo).
Naona serikali yetu nayo inapigana vita isiyoisha.
unaandika kishabiki mwwnyewe unafurahiiii wakati Sizonje the witch anajilundikia tu matrilioni ya wizimheshimiwa nakuambia mateso ya uhakiki huu ni kama msalaba wa jumuiya yani utapita nyumba kwa nyumba na ofisi kwa ofisi mkuu. namba zinasomwa vizuri mno bila ya kukanyagana mkuu.Pale Muhimbili wamepita na tayari wameshawang'oa ma nurse kadhaa.
Aende na jeshini pia.
Waanze na Makonda kwanza, wakiamcha Huyu basi zoezi hili ni batili
Wameona July inakaribia, sio bureYani visa vyote hivi ni ili tu wasipandishe watu madaraja na kuongeza mishahara.