Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

Njia zote za kibiashara tiyari zina ndege za kutosha na wakati mwingine ndege hukosa abiria labda anafuta ndege za kutua chato
We kweli taahira Kenya airways inapiga Sana pesa za Tanzania, Qatar, Etihad, klm, Turkish, emirates etc hizo ndege zote zinafanya kazi ambayo atcl ingetakiwa ifanye
 
bomba dia abiria 60 kama coaster za majimatitu uje ulinganishe na midege ya qatar airways akili zako ziko sawasawa?
 
Shughuli zinazomgusa mwananchi mmoja mmoja kama kilimo cha mazao ya biashara kama katani, chai, ngano, pamba, alizeti, ufuta, uvuvi. Viwanda vidogodogo vinavyozalisha bidhaa zitakazoitajika kwenye soko la ndani.
Sio watanzania wote ni wakulima na sector ya utalii ulitaka ihudumiweje?
 
bomba dia abiria 60 kama coaster za majimatitu uje ulinganishe na midege ya qatar airways akili zako ziko sawasawa?
Dreamliner na bombardier q100 zitafanya hiyo kazi tumenunua ndege kubwa 4 kwa international flights
 
tatizo mnafanya haya kwa msukumo wa kisiasa na hasa kichama. miaka yaenda - hakuna kiwanda wala takwimu za ajira, wakulima kule Songwe wakulima wanalia mahindi hayana bei juzi nimenunua debe Tshs. 5,000 katika kipindi hiki ambacho debe huwa ni kati ya 12,000 na 15,000. hata kama idea ni kuona watanzania hawa hawana njaa sawa lakini sasa ni muda wa kupeleka watoto shule watanunua uniform kwa barter trade?

kuna shida awamu hii.
 
Kushuka kwa bei ina maana nzuri kiuchumi na kiuzalishaji mifuko ya hifadhi ya jamii inafufua national millings zote nchini hapo ujenzi wa viwanda ndio mtaona una mantiki sababu nyie kazi yenu ni kupinga bila reasoning

Sector ya utalii haijatumiwa ipasavyo wataalam wamekaa wamefanya uchambuzi wamepata majibu mojawapo ya sababu zinazofanya utalii usiajiri vijana wengi na kuchangia pato kubwa ni kukosekana kwa usafiri wa kuwaleta watalii kwenye vivutio vyetu hilo JPM analitekeleza kwa vitendo.
 
wanachosema (wakulima) wamepigwa marufuku (na makufuli) kuuza ili kuwanusuru na njaa. suala la kufufua national millings (wewe umesema) ni la msingi tu lakini wakati hilo likifanyika kwa nini basi wakulima wasiruhusiwe kuuza kiasi cha mazao ili kupata pesa ya kuwasitiri maana ni kichekesho mkulima ana gunia 200 za mahindi na katika hizo gunia 20 tu zinamtosha kula yeye na familia yake ina maana 180 zioze huko ndiko kujali wanyonge au mnanyonga wanyonge?

by the way vile viwanda 3000 vimeajiri vijana wangapi?
 
Na zile nyingine ziko wapi? au ndo zilishakamatwa zote kwa ile kesi iliyosababishwa na mwemko wa Magufuli.
 
We unadhani ni kulala usingizi?Rwanda Kenya wameinvest huko kwani wao ni wapumbavu ?Toa alternatives na sio kelele na lawama.

Kama Rwanda na Kenya wamewekeza huko ndio na wewe uwekeze huko?, yaani nchi haina vipaumbele zaidi ya kuangalia Kenya na Rwanda?
 
We kweli taahira Kenya airways inapiga Sana pesa za Tanzania, Qatar, Etihad, klm, Turkish, emirates etc hizo ndege zote zinafanya kazi ambayo atcl ingetakiwa ifanye
Asante Malaya mkuu
 
wawekee ulinzi wa kutosha nayo isije ikakamatwa na wanaotudai
Mkuu kama unadaiwa, ndege haichukuliwi kama katika scenario ya kuvunja nyumba na kuiba,kwa hiyo ulinzi unaowaza wewe hausaidii.Hapo dawa ni mazungumzo au kulipa deni.
 
Back
Top Bottom