Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

Sawa mkuu.nakubali ila kumbuka tulishakijaribu hiko na kauli mbiu kilimo kwanza.kinachohitajika kwasasa ili kilimo kiibuke ni lazma kuwe na mkakati madhubuti ambao ukiwa implemented utakua na positive impact to our economy mkuu.Ila sio kukurupuka kwa kuweka mahela ambayo yataliwa na wajanja wachache kwenye sekta hiyo ya kilimo Kama ilivyotokea awamu iliyopita kwa sera ya kilimo kwanza ambayo hundred percent ili fail.
Yeah, kila mtu anajua na kitoto kilicho zaliwa leo kinajua kuwa kilimo kwanza na big results now yalikuwa mapori ya kugawana kodi zetu. Muhimu ni elimu na uwekezaji kwenye sekta ya kilimo....mtaji, maji,barabara na masoko n.k
 
Badala ya kuwalipa wanaotudai, waachie ndege yetu, wanakimbilia kununua dege jingine! what a shame!, aliesema "anaejua raisi anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea!" alikuwa sahihi kabisa!...
 
Serikali ya Tanzania ipo katika hatua za mwisho kununua ndege nyingine ya Boeing 787.

Itakumbukwa ya kwamba serikali washa-order ndege nne, ambazo ni Boeing787, CS300 na Bombardier q400, ndege zote Zitawasili July mwaka huu.

Source: Aviation Tanzania
Nunueni nayo izuiliwe na wanaotufai.
 
Back
Top Bottom