Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,104
- 32,926
Zungusha sana mikono. 2020 inakaribia....Hii ndege ikifika Magufuli atazunguka mikoani akitangaza "zile ndege tulizoagiza zimefika..."
...Kamwe hatasema kwamba amechota mahela mengine kuficha skandali la ndege zilizopotea.
...Vast majority ya wapiga kura wa Magufuli hawaelewi mambo ya kesi za ndege kukazwa hukumu Canada.
...Na Magufuli anawajua watu wake, wataona kweli ndege zimefika, wengi hawana taarifa ya kinachoendelea duniani.
...Wale wanaojaribu kuamsha wengine wanawahofia, wanawawahi kuwa shuti mchana kweupe.