Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

Mkuu ,kuna vitu vingine vinatokea bahati mbaya,yeye ni mkulu bahati mbaya,,,mimi sio mshabiki wa siasa but i think this country deserve someone better than him,someone with vision
Kanawe uso weka negativity pembeni utaona vision ya Rais na nchi inapoenda
 
Kanawe uso weka negativity pembeni utaona vision ya Rais na nchi inapoenda
Am just realistic,,mkuu vision niliyoiongelea mimi ni positive one na sio negative one,,,haya ngoja basi tu imagine ana vision but ni vision za kutaka attention tu ambzo hua zinadumu for one minute,,unataka proof ?
Juzi kati alidai kua angewalipa waalimu madeni yote pamoja na wafanyakazi wengine,mwishowe kasema anatoa bil 200 tu hiyo nayo ni vision ?,

Pia aliwahi kudai ana vision ya tz ya viwanda yaani uchumi wa kati,anakaa kufunga mabenki
 
Hizo gharama za kununua ndege kwa nn zisielekezwe kwenye viwanda mnavyohubiri kila siku
 
Hizi Bomberdier mbili zilizopo hata hatujui perfomance ikoje maana hata utoaji wa taarifa zake haueleweki.
Upewe taarifa ya perfomance kwani wewe ni mwenyekiti wa bodi ya Atcl?
Kilimo kwanza tumekwenda nacho miaka 10,hata wewe na chama chako kwenye ilani yenu hakuna kilimo kuna elimu,leo unajifanya mshauri elekezi
 
Ukiangalia comments nyingi humu jamiiforum siku hizi unagundua wale wajinga wa instagram na facebook ndo wamevamia ila the great thinkers hawamo tena.
Screenshot_2018-01-05-00-58-59.png

Hii ID yako ina mwezi mmoja hapa JF kwa sasa.

Great Thinker anayejielewa hawezi kuwa na ID nyingi za kipuuzi kama wewe
 
Kuwekeza kwenye kilimo cha kibiashara kitawafanya watanzania zaidi ya 70% wanufaike sana kiuchumi na hivyo kuinua pato la taifa. Uchumi wa viwanda unahitaji mapinduzi ya kilimo ili malighafo zipatikane kwa urahisi. Hii ndo namna ya kurekebisha uchumi. Kuwekeza kwenye ndege ni ni kutaka sifa tu badala ya maendeleo endelevu!
Naaam hata wenzetu walianzia kwenye agriculture revolution then industrial ila sisi tunataka kumlazimisha mtoto atembee ilihali ndo kwanza anakaa sera ya viwanda ilikua si ya sasa

wasomi mliopewa dhamana okoeni taifa lenu
 
Naaam hata wenzetu walianzia kwenye agriculture revolution then industrial ila sisi tunataka kumlazimisha mtoto atembee ilihali ndo kwanza anakaa sera ya viwanda ilikua si ya sasa

wasomi mliopewa dhamana okoeni taifa lenu
Mkuu haya uliyoandika hawapendi kuyasikia wameyapa jina jipya "uchochezi"
 
Majitu mengine bora yasingazaliwa maana akili ya kwendea chooni tu basi, wewe na akili unadanganywa unashangilia unatofauti gani na mnyama achaa chuki zako, watu wana akili zao
 
Lisu na Zito Kabwe hawapendi kusikia nchi ikipiga hatua, wao hupenda kusikia ikishindwa ili wapate kukosoa
Ipige hatua ipi wakati nchi imeendelea? nchi ya viwanda na kipato cha kati na shule bure wawe na wivu wa nini? sidhani labda wewe ambaye hujui ya kesho maana wewe akili yako ni Shekilango na Ubongo hata kimara haifiki
 
Wanasahau kilimo wako busy kununua ndege wanasahau hiyo ni biashara kama biashara zingine hivyo inapaswa kwenda nayo taratibu na kwa uangalifu.

Hizi Bomberdier mbili zilizopo hata hatujui perfomance ikoje maana hata utoaji wa taarifa zake haueleweki.
Biashara huwa inalenga kuzaa faida... na faida itaboresha huduma za jamii ikiwamo kilimo.... (Maoni yangu binafsi)
 
Hili ni jambo zuri kwa serikali kwenye dhamira yake ya kufufua shirika letu la ndege, lakini vilevile lazima ijitahidi kugusa sehemu kubwa ya uchumi ambao unagusa(unamilikiwa) wengi hasa kwenye sekta ya kilimo na viwanda ingependeza sana kama serikali ingejikita intensively kusaidia kuinua kilimo hasa wakulima wadogowado na kuwatafutia masoko ndani na nje ya nchi. Japo hili linalofanywa na serikali nalo lina mchango wake kwenye ufufuaji Wa uchumi hongera mh.raisi kwa kufufua hili shirika ambalo lilishafariki.
Uko powa ila labda inaanza na kuboresha vyanzo vya mapato (kibiashara ya ndege) ambapo ndege zitaboresha utalii na faida kwa usafiri wa ndani...Then itarahisisha kuendeleza kilimo na huduma za jamii... (maoni yangu thou)
 
Wangeaviza tu bajaji TVS KING ni imara na zinadumu sana
 
Nchi yenu IPI?

Hivi wewe kila siku kushoboka na UTz unafikiria nini?
Nimeshakwambia utarudi Gisenyi bila malapa
Afu wanyarwanda kujifanya nchi hii yao....tumewakodisha kwa muda...siku mkono wa damu akimaliz yake.unarudi Gisenyi....
 
...Hii ndege ikifika Magufuli atazunguka mikoani akitangaza "zile ndege tulizoagiza zimefika..."

...Kamwe hatasema kwamba amechota mahela mengine kuficha skandali la ndege zilizopotea.

...Vast majority ya wapiga kura wa Magufuli hawaelewi mambo ya kesi za ndege kukazwa hukumu Canada.

...Na Magufuli anawajua watu wake, wataona kweli ndege zimefika, wengi hawana taarifa ya kinachoendelea duniani.

...Wale wanaojaribu kuamsha wengine wanawahofia, wanawawahi kuwa shuti mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom