Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

Serikali kununua ndege nyingine ya Boeing 787

Jambo jema sana, ila naiomba serikali isilipe cash hata kama fedha inazo

Serikali iwalipe watengenezaji mara tu zitakapo wasili Tanzania

Huwa nina hisia kuwa malipo ya cash kwa ndege zilizopita nayo yamechangia kukamatwa kwa moja ya Bombadier yetu

Niko tayari kurekebishwa kama ninakosea
Mkuu tuseme hela italipwa hizo ndege zikishawasili

Baada ya hapo hazitaruka kwenda nchi nyingine ?

Zitakapo ruka haziwezi kukamatwa ?
Besides ndege huwa hazinunuliwi kwa cash ile zilikuwa mbwembwe tu za mkolomije

Hongera pia kwake kwa kufufua shirika la ndege
 
Serikali ya Tanzania ipo katika hatua za mwisho kununua ndege nyingine ya Boeing 787.

Itakumbukwa ya kwamba serikali washa-order ndege nne, ambazo ni Boeing787, CS300 na Bombardier q400, ndege zote Zitawasili July mwaka huu.

Source: Aviation Tanzania
Hazina manufaa yoyote hali kuwa asilimia kubwa ya hao wanaoitwa wanyonge ninmaskini
 
Badala yakuongeza mishahara na kuboresha masirahi ya watumishi wa umma ili kuimprove work moral mnanunua mindege,ndio manainakamatwa nakuachwa inapgwa na jua,laana ya watumishi ya manung'uniko ya watumishi wa umma haitawaacha sarama.
 
Unawaza matumizi tu na starehe, tumia akili tafuta vyanzo vingine vya mapato acha kutegemea mshahara. Mfanyakazi hata akilipwa m50 Kwa kila mwezi hawezi kuridhika atataka zaidi. Huo ufanisi uoneshe kwenye sekta zingine nje ya ajira yako tuone ukiongeza kipato
 
Uwekezaji kwenye sekta ya kilimo ambayo ndiyo inawaingizia kipato watanzania walio wengi.
Hizo ndo point za kuongea sasa sio ndugu yangu kutoa lawama.Lakini pia tambua kwamba huwezi kuza sekta ya utalii bila kua na the best airline company maana utalii na mambo ya airlines huenda pamoja kwasababu shirika LA ndege hutangaza nchi huko duniani.So tujudge once wakifail ila wakifanya jambo tuwape nafasi mkuu.
 
Bila shaka moja ni dedicated for Chato Int.Airport
 
Unawaza matumizi tu na starehe, tumia akili tafuta vyanzo vingine vya mapato acha kutegemea mshahara. Mfanyakazi hata akilipwa m50 Kwa kila mwezi hawezi kuridhika atataka zaidi. Huo ufanisi uoneshe kwenye sekta zingine nje ya ajira yako tuone ukiongeza kipato
Asa mkuu vyanzo vingine in vipi tena? Ilehari biashara zinafungwa kila siku, mzunguko wa pesa mtaani hakuna,nilikuwa nakiduka change cha kuuza bidhaa za matumizi ya nyumbani kimekufa,nilijumua mahindi nikayaweza store nikitetegemea bei itakuwa nzuri mpaka leo hora yaani nchi hii kwa watumishi wa kima cha chini nimaumivu.
 
Shughuli zinazomgusa mwananchi mmoja mmoja kama kilimo cha mazao ya biashara kama katani, chai, ngano, pamba, alizeti, ufuta, uvuvi. Viwanda vidogodogo vinavyozalisha bidhaa zitakazoitajika kwenye soko la ndani.
Umeongea logic na point Sana mkuu.Ila tambua pia ya kwamba serikali haifanyi kwa mtu mmoja mmoja ila majority.Unapowekeza kwenye airline sio mbaya at all coz inaboost sekta ya utalii Sana kwasababu huwezi kufanikiwa kwenye utalii without a stable airline company ambayo itaitangaza nchi ughaibuni.Mind you utalii utaongeza fedha za kigeni ambazo Zita boost uchumi pia in one way or another.So kenya,Rwanda Ethiopia sio wajinga kuinvest kwenye airlines companies mkuu.
 
Back
Top Bottom