Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 492
Ndege hazijawahi kurekebisha uchumi uliokufa!!!
Ukiona wananunua ndege uchumi haujakufa.
Ndege hazijawahi kurekebisha uchumi uliokufa!!!
Mkuu ile sumu bado haujanywa tu?Hii Habari asiisikie Tundu Lissu vinginevyo watamrudisha ICU, kwa chuki aliyonayo dhidi ya nchi yetu!
sio kila anayepinga ni UKAWAUkisoma hoja za wanaopinga utaona ni kwakiasi gani UKAWA ipo mahututi.
Kabla ya Magufuli waliotangulia hawakununua ndege kilimo kilikuwaje?Serikali ya Magufuli ndiyo haina huo mpango mkakati! Kilimo kimetelekezwa ili nchi iwe na ndege!!
na pacha wake MsalaniHahahahaha kaka yako Mussa Allan yupo wapi sikuhizi?
Matrekta, planter na mbolea zinazowafikia wakulima kwa wakati. Kilimo kinachangia pato la taifa kwa 60%+, wala sio bombadier. Kila alie hai anahitaji chakula, sio kupaa hewaniSasa nini kinaweza rekebisha uchumi uliokufa..?
Mkuu naona unatekeleza kwa vitendo mafunzo yako ya ujasusi, mmeshindwa physical elimination Sasa ni character killing, sawa bhana, haishangazi maana tawala zote korofi watu Kama wewe wanakuepo huitwa henchmenHii Habari asiisikie Tundu Lissu vinginevyo watamrudisha ICU, kwa chuki aliyonayo dhidi ya nchi yetu!
Zinafanya vizuri kiasi zimeisha ingiza zaidi ya 20b bila kuondoa gharama.Wanasahau kilimo wako busy kununua ndege wanasahau hiyo ni biashara kama biashara zingine hivyo inapaswa kwenda nayo taratibu na kwa uangalifu.
Hizi Bomberdier mbili zilizopo hata hatujui perfomance ikoje maana hata utoaji wa taarifa zake haueleweki.
Link uchumi wa tz umekufa?Ndege hazijawahi kurekebisha uchumi uliokufa!!!
Swali la mbumbumbu ktkt ya uongoSasa nini kinaweza rekebisha uchumi uliokufa..?
Great thinkers wapo, ila wanamkebehi mendeUkiangalia comments nyingi humu jamiiforum siku hizi unagundua wale wajinga wa instagram na facebook ndo wamevamia ila the great thinkers hawamo tena.
Utawala Bora,Siasa Safi, Uwazi, Elimu,Sera nzuri,nk.Sasa nini kinaweza rekebisha uchumi uliokufa..?
Hii Sasa tuombe Sana isikamatwe maana ikiwa hivyo lazima tu mzalendo mmojawapo atalifahamisha taifa, ataitwa msaliti na atatumiwa Nissan nyeupe hakuna uhakika wa kupona Kama yule wa mwanzo. Mimi naona Bora madege yenu yaacheni hukohuko sisi tubaki salama, kwani thamani ya ndege Ina zidi uhai wa mtuJambo jema sana, ila naiomba serikali isilipe cash hata kama fedha inazo
Serikali iwalipe watengenezaji mara tu zitakapo wasili Tanzania
Huwa nina hisia kuwa malipo ya cash kwa ndege zilizopita nayo yamechangia kukamatwa kwa moja ya Bombadier yetu
Niko tayari kurekebishwa kama ninakosea
Kupanga ni kuchagua toka uhuru unazungumzia kilimo,kilimo kipi,nchi inahitaji kuangalia fursa zingine makosa yalishafanyika kwa kukaribisha wageni ambao walikuja kwa mgongo wa kufanya tafiti na matokeo yake unayajua!tanzania kama tanzania haina tena ardhi bora ya kilimo.Hili ni jambo zuri kwa serikali kwenye dhamira yake ya kufufua shirika letu la ndege, lakini vilevile lazima ijitahidi kugusa sehemu kubwa ya uchumi ambao unagusa(unamilikiwa) wengi hasa kwenye sekta ya kilimo na viwanda ingependeza sana kama serikali ingejikita intensively kusaidia kuinua kilimo hasa wakulima wadogowado na kuwatafutia masoko ndani na nje ya nchi.
Japo hili linalofanywa na serikali nalo lina mchango wake kwenye ufufuaji Wa uchumi hongera mh.raisi kwa kufufua hili shirika ambalo lilishafariki.
kwako unaona kununua ndege ni hatua za ki maendeleo lakini vp wananchi kukosa pesa kutokana na kuwa biashara hazifanyiki ni hatua gani hiyo ? Au hizo ndege unataka ufanye biashara na watu wa kutoka wapi wakati watu wako una zidi kuwa nyang"anya uwezo wa kujitegemea kiuchumi. Au labda huo ndio uchumi wa viwanda ambao sasa hata wimbo wake hausikiki tena hata kwa hao viongozi, kama tume potea njia sio vibaya tukarudi nyuma ili tupate muelekeo ulio sahihi tupate kusonga mbele, na njia sahihi ni kuwekeza kwenye kilimo. Ondoa kwanza njaa ndio utapata uwezo wa kujiamiani.
Lisu na Zito Kabwe hawapendi kusikia nchi ikipiga hatua, wao hupenda kusikia ikishindwa ili wapate kukosoa
Lisu na Zito Kabwe hawapendi kusikia nchi ikipiga hatua, wao hupenda kusikia ikishindwa ili wapate kukosoa
Kabla ya Magufuli waliotangulia hawakununua ndege kilimo kilikuwaje?