Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

Tuliahidi tunatekeleza!
89c5ae678660ac3ba2bced085e24c281.jpg
 
Wewe na serikali yako bado mnahitaji kuombewa maana hamjijui mko wapi mkuu. Jiulize flyover itaibadilisha vipi future ya nchi maskini kama hii ya kwetu mkuu na pia nawaza ni lipi hii serikali imelifanya kutuvusha sisi katika suala la kipato na pia kuongeza life expectancy zetu. Nyie acheni ujanjaujanja wa kitoto fanyeni mambo sawa na nyakati tulizopo na si kutuburuza kifikra
Maendeleo kwa maana ya serikali a ccm na wanaccm ni vitu na si intelligence ya watu wake ama productivity ya watu wake,by the way hivi ukimaliza ujinga na umasikini Tanzania nani ataichagua ccm?
 
nahata ule ujenzi wa mwendo kasi pale lazima utavamiwa ...kama nikweli wanastahiki ponhezi dhidi ya huo mradi ..but kitu ambacho huwa ninashindwa kuwaelewa nikutekeleza miradi flani kisha kujakuibomoa miundo mbinu hiyo kwa mradi mwingine unaokuja tena katika wakati mfupi ..mfano hayo magorof ya Morocco mengine hata kukamilika bado it means watu wa mipango miji hawakuwa na mipngo ya muda wa miaka 50 mbele mipngo yao niyamuda mfupi mfupi tu pasipo kujiuliza kitakachokuja kufuata mbele...mwisho wasiku wahusika wanakuwa wamepata hasara ...kuanzia serikali mpka sekta binfsi..nakama wasipo pata hasar basii serikali inajikuta inapoteza pesa nyingi katk kuwalipa wahusika wakati kama pangekuwa na tahadhari ykujengwa kwa hayo maeneo hiyo hasara isingepatikana
KwaniTrump alisemaje kuhusu Africans na uwezo wao Wa kuplan? Ndo maana wakati wao wanafikiria kwenda sayari nyingine sisi tunafikiri kuwafanya watanzania wote wawe wanaccm ili asiwepo mtu Wa kuhoji makaburi
 
Wajenge hii njia ya kati ya kigamboni,kibada to mwasonga hii ni barabara muhimu sana kozi kuna viwanda na ofisi nyingi maeneo ilipopita hii barabara
 
KwaniTrump alisemaje kuhusu Africans na uwezo wao Wa kuplan? Ndo maana wakati wao wanafikiria kwenda sayari nyingine sisi tunafikiri kuwafanya watanzania wote wawe wanaccm ili asiwepo mtu Wa kuhoji makaburi
ama kweli unenayo nisahihi kabisa aiseee
 
Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
DVfzC6_X0AAVtth.jpg:large
Kampeni zq 2020 zimeanza....
 
gharama ya kulibadiri jiji la dar ni kubwa mno kwani ujenzi holela ulidekezwa. pesa hizo zipelekwe kwenye maswala muhiu kama kilimo, afya na elimu, ili zitoke icu.
 
Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
DVfzC6_X0AAVtth.jpg:large

Kuna flay over na fly junctions! Hizo picha za majuu mnazotuwekea ndo flayover Tanzania hatuwezi kujenga!

Bado sana sisi kufika hapo kwenye hizo picha, kufikia hatua hiyo.
 
Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
DVfzC6_X0AAVtth.jpg:large
Spaghetti Junction.
 
Nini kilichowashinda kujenga hizo flyovers miaka yote hiyo mpaka kufikia tunatumia masaa matano kila siku kwenda na kurudi kazini??? Mbona serikali ni ya chama kile kile? Just use simple common sense...
 
Back
Top Bottom