RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,521
- 135,599
Yanaweza kukosa wapangaji, demand ndio itaamua.Kwa kweli, waende na Mbeya hata kujenga magorofa yafike kumi, lile jiji, dah!
Yanaweza kukosa wapangaji, demand ndio itaamua.Kwa kweli, waende na Mbeya hata kujenga magorofa yafike kumi, lile jiji, dah!
Tena ajisemee pekee yake, hivi ina maana hizi foleni hazioni?Wakazi wa Dar tunataka kupita juu tumechoka na foleni tena zijengwe kibaoooo
Jiongelee wewe usi generalize mjomba
TAZARA flyover nayo zero?Serikali yetu ni kama timu zampira simba na yanga miaka kenda nikuonyesha tu ramani za viwanja utekelezaji ziro.
...flyover.Kuna flay over na fly junctions! Hizo picha za majuu mnazotuwekea ndo flayover Tanzania hatuwezi kujenga!
Kwenye hoyo picha yako nioneshe Mwenge, Tabata, Chang'ombe, Morocco zilipo. Mnajenga MADARAJA sio flyover!!Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
![]()
Yaan sijui wanataka lijengwe vipi ndio liwe flyover kwa uelewa wao, maana flyover ni daraja la kuvusha magari, sasa kuita flyover ni daraja as if ni daraja la mto ruvu sidhani kama ni sahihiWewe unadhani ni nini vile??? mfano pale Tazara
Sasa hiyo nayo ni yakuringishia?TAZARA flyover nayo zero?
Kwani hizo barabara za juu ndo mkmbozi wa foleni maana kuna uzi ulishaletwa huku ukionyesha foleni kwenye mataifa makubwa kama ChinaPanda daladala ya kupita hizo junction, au kama una gari pita mida ya rush hour, nakuhakikishia foleni utakayokumbanna nayo utarudi kuomba radhi
Balaa lingine ni pale Ubungo, yaani usiombe ukatane na lifoleni la pale, masaa matatu yanaweza kukatika hujavuka pale, hasara ilioje???!!! Bila hizi flyover tusahau maendeleo yoyote hapa jijini Dar na nchini kwa ujumla. Maana hizi ni kama chemba zilizoziba na kublock maendeleo..!!!Ktk juctions zote, Tazara ndio baba lao kwa kusababisha foleni, pale wamepatia kuanza napo ingawa bado foleni itakuwapo.
Ni kweli, mimi mwenyewe ni mnufaika wa matunda ya mipango ya 1933, mfani mwinge ni hiz Kinyerezi gas power plants, gesi iligunduliwa miaka ya 70 lakini leo tunakula matunda. Mipango mingine ni hii ya Stiegler's gorge, mipango yake ilianza tangu enzi za Nyerere lakini kwa uwezo wa muweza tunaweza tukala matunda ndani ya miaka 10.., tusikate tamaa...Daraja la Kigamboni lilipangwa kujegwa tangu 1933
Na sisi tumepata bahati ya kula matunda yake
Kukata tamaa ni mwiko!
Tunayaweza maana hatuna tena uwoga ndani yetu
SKY IS NOT A LIMIT
Unaweza ukatoka chozi kabisa foleni ya Tazara, viongozi wetu hawajawahi na hawaijui foleni ya Tazara ndio maana huu mradi umechelewa kutekelezwa..tazara ni balaa unaweza ukajikuta unalia ujue ..hahaa
Nadhani kuna tofauti kati ya flyover na bridge.....labda wajuzi wa lugha watujuzeYaan sijui wanataka lijengwe vipi ndio liwe flyover kwa uelewa wao, maana flyover ni daraja la kuvusha magari, sasa kuita flyover ni daraja as if ni daraja la mto ruvu sidhani kama ni sahihi
Flyover ni barabara za juu na madaraja ni bridge.....labda wajuzi wa lugha watujuze zaidi??Kwenye hoyo picha yako nioneshe Mwenge, Tabata, Chang'ombe, Morocco zilipo. Mnajenga MADARAJA sio flyover!!
Wale wana magari mara 1000 ya tz, sasa wasingekua na flyover nadhani nchi nzima wangekuwa wanatembelea baiskeli nadhani. Toa hiyo minyoo huko kichwani aisee.., daah..Kwani hizo barabara za juu ndo mkmbozi wa foleni maana kuna uzi ulishaletwa huku ukionyesha foleni kwenye mataifa makubwa kama China
Flyover ni nini?H
Hakuna cha flyover ni madaraja wanadanganywa wabongo