FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,916
Yaan hapa foleni inaweza ikawa historia jijini Dar es salaam
Usije mjini.Mhh,,mjini daslama huko
Daraja la Kigamboni lilipangwa kujegwa tangu 1933Hapa tunadanganywa tu maana hakuna namna
Kwa kweli, waende na Mbeya hata kujenga magorofa yafike kumi, lile jiji, dah!Wakumbuke na miji mingine kama Mbeya, Mwanza, Arusha wasiishie DSM tu.
ngoja tuone hilo mkuu ..maana ile bara bara imekuwa na maghorofa mazuri mnoo ambayo yamelipendezesha jiji kweli ingepndeza zaidi Barabara hizo kupita huku yale maghorofa yakiwepo pia...Ila kwa Moroko, sidhani kama kweli huu mradi upo kama utapita pale.
tazara ni balaa unaweza ukajikuta unalia ujue ..hahaaKtk juctions zote, Tazara ndio baba lao kwa kusababisha foleni, pale wamepatia kuanza napo ingawa bado foleni itakuwapo.
haya mkuuDaraja la Kigamboni lilipangwa kujegwa tangu 1933
Na sisi tumepata bahati ya kula matunda yake
Kukata tamaa ni mwiko!
Tunayaweza maana hatuna tena uwoga ndani yetu
SKY IS NOT A LIMIT
Ni monster pale. Unaweza maliza masaa kadhaa sehemu ndogo tu, na ni pande zote nne.tazara ni balaa unaweza ukajikuta unalia ujue ..hahaa
aahgggh pale ni changamoto aisee ..ngoja tusubiri mradi wao uishe kwanza naimani tatizo litkuwa limepata mwarobaini wakeNi monster pale. Unaweza maliza masaa kadhaa sehemu ndogo tu, na ni pande zote nne.
Toa wazo lililopo kichwani mwako basi.Tutoleeni UPUPU wenu hapa!
Toka 1961 kauli yenu ni ‘tutajenga’
Lile daraja kuubwa kuunganisha Masaki na Kariakoo bado upembuzi haujaisha?
Kila siku tutafanya tutafanya!
Wewe ndio dr Abbas?umeambiwa hizo hela za kujenga flyover ni zile million 50 za kila kijiji.............????
Majengo yapo na yanaongezeka, Japokuwa NHC, PPF, NSSF, WHC wamekazana zaidi na DSM.Kwa kweli, waende na Mbeya hata kujenga magorofa yafike kumi, lile jiji, dah!
Pia kuna utanuzi wa mapaja oh sorry madaraja unendelea lazima tupongezeKuna Miradi ya maji inatekelezwa pia, Umeme kuna miradi inatelekezwa, kuna uboreshaji wa vituo vya afya...yote yanafanyika....lazima tutoe pongezi kwa serikali ya JPM
Mkuuu kwangu mm naona hivo ndo muhimu sana maana vinagusa moja kwa moja maisha ya mtanzania mnyonge.Kwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition
Hawa watawala wangetakiwa watuulize sio kujiamuliaMkuuu kwangu mm naona hivo ndo muhimu sana maana vinagusa moja kwa moja maisha ya mtanzania mnyonge.
Panda daladala ya kupita hizo junction, au kama una gari pita mida ya rush hour, nakuhakikishia foleni utakayokumbanna nayo utarudi kuomba radhiKwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition