Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

DVfzC6_X0AAVtth (1).jpg

Dar mpya inakuja na itakuwa na miundo mbinu kama hii.


Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Abbasi amesema Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata
 
umeambiwa hizo hela za kujenga flyover ni zile million 50 za kila kijiji.............????
Wee unaishi bongo kweli? tumeambiwa milion hamsini za kila kijiji zinatolewa kupitia elimu bure na ujenzi wa fly over!
 
View attachment 692462
Dar mpya inakuja na itakuwa na miundo mbinu kama hii.


Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Abbasi amesema Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata
Kwa hiyo Moroko yale majengo marefu mapya bomoa bomoa INAKUJA??
 
Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
DVfzC6_X0AAVtth.jpg:large
Kama ni "kujenda" sawa ila kujenga sijui... Vile vivuko navyo ni flyover? Hebu tuwe 'siriazi' kidogo
 
Wewe na serikali yako bado mnahitaji kuombewa maana hamjijui mko wapi mkuu. Jiulize flyover itaibadilisha vipi future ya nchi maskini kama hii ya kwetu mkuu na pia nawaza ni lipi hii serikali imelifanya kutuvusha sisi katika suala la kipato na pia kuongeza life expectancy zetu. Nyie acheni ujanjaujanja wa kitoto fanyeni mambo sawa na nyakati tulizopo na si kutuburuza kifikra
 
Wajenge tu nawatakia utekelezaji mwema, wakumbuke na miji mingine inahitaji flyover.
 
Wewe na serikali yako bado mnahitaji kuombewa maana hamjijui mko wapi mkuu. Jiulize flyover itaibadilisha vipi future ya nchi maskini kama hii ya kwetu mkuu na pia nawaza ni lipi hii serikali imelifanya kutuvusha sisi katika suala la kipato na pia kuongeza life expectancy zetu. Nyie acheni ujanjaujanja wa kitoto fanyeni mambo sawa na nyakati tulizopo na si kutuburuza kifikra shenzi kweli.
Nadhani wewe ndio unahitaji kuombewa....maana hujui hata umuhimu wa kupunguza foleni za barabarani kwenye mji mkubwa kama Dar es Salaam....imagine ni kiasi gani cha muda kinapotea barabarani kwa ajili ya foleni....imagine ni kiasi gani cha fedha kinapotea kwa engine ya gari zinapokua on kwenye foleni.......(Mafuta na tear of engine parts)....imagine ni kiasi gani cha FDI kinapotea kutokana na investors kuwa discouraged na foleni za Dar es Salaaam.........
 
Back
Top Bottom