FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,917
Flyover ni bridge, lakini bridge sio flyover.Therefore, flyover ni aina ya daraja.Nadhani kuna tofauti kati ya flyover na bridge.....labda wajuzi wa lugha watujuze
Flyover ni bridge, lakini bridge sio flyover.Therefore, flyover ni aina ya daraja.Nadhani kuna tofauti kati ya flyover na bridge.....labda wajuzi wa lugha watujuze
wamekudanganya kitu gani wewe???
'upembuzi yakinifu'....
Foleni linakukuta uko sokota unakuja tazara, au matumbi au vingunguti, lazima utoe chozi na ukichepuka tu polisi hao. Ni shida, viongozi hawajui kero za foleni kwa kweli.Unaweza ukatoka chozi kabisa foleni ya Tazara, viongozi wetu hawajawahi na hawaijui foleni ya Tazara ndio maana huu mradi umechelewa kutekelezwa..
Hio barabara ya juu inamsaidia nn mchimba madini kule manyara .elimu Bora ndo mkmboziWale wana magari mara 1000 ya tz, sasa wasingekua na flyover nadhani nchi nzima wangekuwa wanatembelea baiskeli nadhani. Toa hiyo minyoo huko kichwani aisee.., daah..
......habari za Kinyerezi 1,2 na 3 hujawahi kusikia ? Steigler Georges ?Kwani watanzania tumesema tunataka kupita juu sisi tunataka
Maji Safi, salama na ya unakuja 24/7
Umeme wa uhakika 24/7
Elimu Bora na sio hii ngonjera tunazofundishwa sahivi
Ajira
Mazingira mazuri ya kujiajiri nasio hizo barabara za juu maana sisi za chini zinatutosha mkiweza ziweka katika good condition
According to yule msemaji wa serikaliumeambiwa hizo hela za kujenga flyover ni zile million 50 za kila kijiji.............????
Ni kweli kabisaNi kweli, mimi mwenyewe ni mnufaika wa matunda ya mipango ya 1933, mfani mwinge ni hiz Kinyerezi gas power plants, gesi iligunduliwa miaka ya 70 lakini leo tunakula matunda. Mipango mingine ni hii ya Stiegler's gorge, mipango yake ilianza tangu enzi za Nyerere lakini kwa uwezo wa muweza tunaweza tukala matunda ndani ya miaka 10.., tusikate tamaa...
...flyover.
Jaribu kumuomba Mbowe akarabati lile jengo la ufipa kwanza.Katu hatuwezi tujenge ka hiyo mpaka Yesu arudi
Katu hatuwezi tujenge ka hiyo mpaka Yesu arudi
Kisa wamesema project za Dar?? Mbona Chatto wanajenga 'airport'!Hivi Tanzania ni Dar es salaam Pekee? Kazi ipo.
Just thinking loud.Hivi baada ya wizara zote kuhamia dodoma congestion city centre haitapungua?Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
![]()
Foleni zikipungua Dar uchumi wa nchi utakua kwa ujumla, na kila mtz atanufaika.Hio barabara ya juu inamsaidia nn mchimba madini kule manyara .elimu Bora ndo mkmbozi