Serikali Kujenga Flyover Saba katika jiji la Dar es Salaam

View attachment 692462
Dar mpya inakuja na itakuwa na miundo mbinu kama hii.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Abbasi amesema Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata
Hapa tunadanganywa tu maana hakuna namna
 
Tunataka kujengewa madarasa watoto wengi mwaka huu hawajaanza masomo bado kutokakana na ufauru kuongezeka.
 
Kwa hiyo Moroko yale majengo marefu mapya bomoa bomoa INAKUJA??
nahata ule ujenzi wa mwendo kasi pale lazima utavamiwa ...kama nikweli wanastahiki ponhezi dhidi ya huo mradi ..but kitu ambacho huwa ninashindwa kuwaelewa nikutekeleza miradi flani kisha kujakuibomoa miundo mbinu hiyo kwa mradi mwingine unaokuja tena katika wakati mfupi ..mfano hayo magorof ya Morocco mengine hata kukamilika bado it means watu wa mipango miji hawakuwa na mipngo ya muda wa miaka 50 mbele mipngo yao niyamuda mfupi mfupi tu pasipo kujiuliza kitakachokuja kufuata mbele...mwisho wasiku wahusika wanakuwa wamepata hasara ...kuanzia serikali mpka sekta binfsi..nakama wasipo pata hasar basii serikali inajikuta inapoteza pesa nyingi katk kuwalipa wahusika wakati kama pangekuwa na tahadhari ykujengwa kwa hayo maeneo hiyo hasara isingepatikana
 
Ndo kusema uile project ya Kigamboni satelite town ilikufa na mama wa tuhela twa mboga au? naona mawazo mapya juu ya mengine ambayo hayajatekelezwa
asante ile project ya kigamboni tuliambiwa kuwa ingeanza ingeanza 2011 mpka 2015 lakini mpka leo nikama tulipewa chai tu ..
 
View attachment 692462
Dar mpya inakuja na itakuwa na miundo mbinu kama hii.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Abbasi amesema Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata
Haya ndio mambo tunayotaka
 
Ma archectbwa Tanzania Tanzania wangetakiwa wa design interesting fly over ya kukwepa lile jengo palw ubungo.
Wangetakiwa wafanye hivyo toka zamani sana.
 
nahata ule ujenzi wa mwendo kasi pale lazima utavamiwa ...kama nikweli wanastahiki ponhezi dhidi ya huo mradi ..but kitu ambacho huwa ninashindwa kuwaelewa nikutekeleza miradi flani kisha kujakuibomoa miundo mbinu hiyo kwa mradi mwingine unaokuja tena katika wakati mfupi ..mfano hayo magorof ya Morocco mengine hata kukamilika bado it means watu wa mipango miji hawakuwa na mipngo ya muda wa miaka 50 mbele mipngo yao niyamuda mfupi mfupi tu pasipo kujiuliza kitakachokuja kufuata mbele...mwisho wasiku wahusika wanakuwa wamepata hasara ...kuanzia serikali mpka sekta binfsi..nakama wasipo pata hasar basii serikali inajikuta inapoteza pesa nyingi katk kuwalipa wahusika wakati kama pangekuwa na tahadhari ykujengwa kwa hayo maeneo hiyo hasara isingepatikana
Ila kwa Moroko, sidhani kama kweli huu mradi upo kama utapita pale.
 
Back
Top Bottom