FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,917
Chang’ombe flyover yafika patamu
Hata ya Taifa imefika pazuriChang’ombe flyover yafika patamu
Tusaidiane picha basi si wengine Daslama kuja mpaka kwa barua ya mualiko.Mambo ni moto uhasibu na Chang’ombe 🙏👏👏
mmmh hizi flyover bado zinajengwa kweliMwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata. -@TZ_MsemajiMkuu wa Serikali, Dk Abbasi.
![]()
Wanakujammmh hizi flyover bado zinajengwa kweli