Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

Unashangaza sana mkuu, wewe unataka iphone au mtengenezaji? Maisha ya mtengenezaji kwako yanakuhusu nini? Una fikra finyu sana doesn't make sense huh
Tuukatae ushoga na mambo yake yote.

KATAA IPHONE [emoji4]
 
Acha ushamba android nao wan aishara zile zile ww sema uliachwa na kidemu chenye iPhone sasa unaleta makasiriko. Umaskini wako usifanye kila mtu akaon unachowaza ww ni sahihi ww pambana na hali yako.
Endelea kutukuza mila za uRaya.
 
Utatumiaje vifaa vyao ambavyo vinaharibu maadili ya Mtanganyika?
Vinaleta ushoga na kueneza ushoga tunatakiwa tuvipinge kwa nguvu zote,

Nilitegemea ungesema tutengeneze vya kwetu kumbe unajua kua akili hizo hatuna [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini? Turudi posta na kwenye umizimu.

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake.

Mimi na wanakijiji wenzangu wa ardhi ya mbambadu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.
Wewe unafanya biashara ya kuuza simu za android nini?!
 
Unapenda iPhone?

Kupenda iPhone ni sawa na kushiriki tendo kinyume na mila za kitanganyika.

Uko backward sana, kutumia iphone hakuna uhusiano wowote na unalolisema. Just like samsung, na brands zingine. We dont use them kwa sababu ya zinapotoka, watu wanafuta ubora wa device. Si vinginevyo
 
Uko backward sana, kutumia iphone hakuna uhusiano wowote na unalolisema. Just like samsung, na brands zingine. We dont use them kwa sababu ya zinapotoka, watu wanafuta ubora wa device. Si vinginevyo
Sasa hili janga la ushoga tutalimalizaje kama kuna vimelea vimewekwa kwenye Iphone pia nasikia vijana wanakubali kugeuzwa ili wapewe Iphone,

Kataa Simu tulinde Maadili ya Mtanganyika
 
Back
Top Bottom