Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,164
- Thread starter
- #121
JiongezeKwa kweli mtoa post amenishangaza sana ila umasikini huleta wivu mmbaya sana
JiongezeKwa kweli mtoa post amenishangaza sana ila umasikini huleta wivu mmbaya sana
ntavaa majani ya migombaSawa anza kutembea uchi na uachane na masuala ya mitandao.
Tupige marufuku vyote sisi kipaumbele chetu ni kulinda maadili yetu,Kuna technology nyingi tu zinatoka nchi zenye kusapoti ushoga sasa tutapiga marufuku vingapi?
Aliyekwambia Samsung ndio ina afueni nani?Hii ndo ilinifanya nilivyokuwa majuu kununua simu na tablet za samsung wakati wenzangu wote wakikimbizana kununua product za apple, maana hata yule mwanzilishi wa apple aliyefariki nafikiri alikuwa bwabwa.
Ripoti ya yule Dada wa Mwakyembe uliiamini kua kuna vimelea vya ushoga vinawekwa kwenye manukato, dawa ya meno na jezi za mpira, ila kwa Iphone unakataa havipo [emoji38]Vimelea vip vinawekwa kwenye iphone?
Hiyo total illusion, hakuna vimelea vyovyote viko kwa iphone.
Kama vile mtu anatamani kupata nyumba, gari, na mafanikio mengine kwa haraka hupelekea vijana kuuza utu wao kwa kutoa nyuma.
Tamaa ya mali haina uhusiano na iphone. Hizo ni tamaa za mtu husika
Sio uRaya ni Ulaya hujui hata kuandika alafu unataka serikali ifungie simu brandi fulani kisa huna uwezo wa kuinunua au ushaliwa demu wako na mshkaji mwenye iPhone😆😆😆😆😆Endelea kutukuza mila za uRaya.
Bado ushamba unakusumbua 👭👬👨❤️👨👨❤️💋👨💑🏳️🌈 hizi ni emoji na zipo kwenye samsung sasa ww jidai eti samsung sjui nn kiufupi ukitaka kuwa salama kwa mawazo yako acha kutumia simu kabisaHii ndo ilinifanya nilivyokuwa majuu kununua simu na tablet za samsung wakati wenzangu wote wakikimbizana kununua product za apple, maana hata yule mwanzilishi wa apple aliyefariki nafikiri alikuwa bwabwa.
Nn hiki unaongea ww unajielewa kweli au umesahau kumeza dawa aseeKuna vimelea vya ushoga vimepakazwa kwenye iPhone kupitia pafyumu za mabeberu.
Mkemia mkuu alisemaga.
Ni uRayaSio uRaya ni Ulaya hujui hata kuandika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kivipii?Nn hiki unaongea ww unajielewa kweli au umesahau kumeza dawa asee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani kuna watu wapumbavu Yaani hata hujui ujibu nn. So nita summarize tu; Acha kutumia kitu chochote usichokitaka huna haki narudia huna haki ya kumkataza mwingine hata Km mwanao akishakuwa mtu mzima; that being said huo Utanganyika uwe wako tu na sio wote coz tukianza kuuliza kila mtu anataka nn kwa mwingine tutakatana mapanga hapa. So usitumie iPhone, usivae pink, shinda kanisani au msikitini na Mungu wenu, usiingie internet Wala nn baki na iyo unayodhan ni maadili yako ila koma kutuweka wote kw iyo Utanganyika wako na Km hutak anza kujilipua.
Kumbe tupo wengi.sipendi kabisa kutumia simu na naamini kuna siku lengo langu litatimia.
Maskini msiojiwezaKumbe tupo wengi.
Unatupa wasiwasi… mwanaume rijali unatumiaje emoj nyingi hivyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ukisikia msiba ndio huu kwa sisi wa dini ya mnyaazi Mungu tunasema inalilahi wa inailahi rajuuuuuuuniiiiii😆😆😆 man down man downUnatupa wasiwasi… mwanaume rijali unatumiaje emoj nyingi hivyo?
Tatizo ni teknolojia au wewe mtumiaji wa teknolojia?.Kama una akili zako timamu hakuna kitu chochote cha kijinga ambacho unaweza ukakifanya kwakushawishiwa na teknolojia.Hoja iko sawa. Naamini Teknolojia ya kisasa ndo imeleta haya yote ufusika na mambo kibao. Fikria kipindi kabla ya simu watu walifanya mapenzi ila awakurekodi video leo hii ngono imekuwa chanzo cha mapato kupitia hizi simu . Bora zaman kuliko now... sioni faida ya Teknolojia
Mwanaume rijali anatakiwa atumie emoji ngapi? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji12][emoji13][emoji12][emoji13][emoji12][emoji13][emoji12][emoji13][emoji12][emoji13][emoji12][emoji13]Unatupa wasiwasi… mwanaume rijali unatumiaje emoj nyingi hivyo?
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Ukisikia msiba ndio huu kwa sisi wa dini ya mnyaazi Mungu tunasema inalilahi wa inailahi rajuuuuuuuniiiiii[emoji38][emoji38][emoji38] man down man down