Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,661
- 55,932
Ripoti ya yule Dada wa Mwakyembe uliiamini kua kuna vimelea vya ushoga vinawekwa kwenye manukato, dawa ya meno na jezi za mpira, ila kwa Iphone unakataa havipo [emoji38]
Hebu linda maadili ya Mtanganyika tupa hiyo Iphone inatuzalishia mashoga.
Nani kachunguza kwa iphone? Vyote ulivyotaja ni chemicaly induced , iphone ni hard and pure electronic circuits wapi na wapi?
+ ulifanya uchunguzi wapi au nani alifanya uchunguzi kuja na hiyo conclusion? Na chapisho lake likowapi?
Epuka story za vijiweni
Narudi vile vile, kama mtu anazikwa mzima mzima ili apate utajiri atashindwaje na hayo? Hiyo yote ni tamaa ya mtu.