Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

Au huko mtaani si wanawekaga vigodoro sijui baikoko
Mashogaa top wanajaaa na wanajumuika na raia wote wanakata mauno

By the way,nambie home boy kitambo sana sijakuona humu,kwema lakini

Ova
Ndio maana nashangaa sana sisi wanadamu ni wanafiki sana

Uswahilini gays kwenye vigodoro wamejazana na hakuna mtu ana noma nao!

Aisee nipo,still in Maryland sitting in my crib naked sipping my wine and examining my nut balls man!

Kuna lidem la OnlyFans lenye biggest but ever nime-order linakuja

Leo naua!
 
Acheni Uzungu Mbuzi nyie. Maadili ya mwafrika yameharika kuanzia ngazi ya chini kabisa ya familia ambao ndio uti wa mgongo wa maadili. Waleeni watoto wenu katika maadili bora. Haya mengine yatajiseti yenyewe
 
Ni wanafki kweli wala sio uongo,
Wakina Aggrey na James delicious tupo nao kila leo
Si ndiyo hapo

Ova
Screenshot_20230411_161700_TikTok.jpg
Screenshot_20230411_161633_TikTok.jpg
 
Ndio maana nashangaa sana sisi wanadamu ni wanafiki sana

Uswahilini gays kwenye vigodoro wamejazana na hakuna mtu ana noma nao!

Aisee nipo,still in Maryland sitting in my crib naked sipping my wine and examining my nut balls man!

Kuna lidem la OnlyFans lenye biggest but ever nime-order linakuja

Leo naua!
Duh....

Ova
 
Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini? Turudi posta na kwenye umizimu.

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake!!! Kwani mkemia mkuu wa serekale alisemaje? Kuna vimelea vya ushoga vyenye muundo wa bakteria ambavyo vimeunganishwa na iPhone kupitia pafyumu za mabeberu.

Mimi na wanakijiji wenzangu wa ardhi ya mbambadu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.

Sasa mbna android nazo zina emoj ya upinde[emoji23][emoji23][emoji23] wewe hebu tuache kwanza tupumue
 
Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini? Turudi posta na kwenye umizimu.

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake!!! Kwani mkemia mkuu wa serekale alisemaje? Kuna vimelea vya ushoga vyenye muundo wa bakteria ambavyo vimeunganishwa na iPhone kupitia pafyumu za mabeberu.

Mimi na wanakijiji wenzangu wa ardhi ya mbambadu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.

Report hasara nyingine unaowaambia nao wanatumia iphone. Baada ya uwaambie wajenge madarasa unataka wakataze iphone
 
Hii brand ukimkuta mwanaume anatumia lazima aweke vidole vitatu juu tena ananata na kujisikia utadhani kashika ufunguo wa pepo.
 
Back
Top Bottom