Unauhakika au unasema unayosikia mitandaoniHata steve jobs mwenyewe hakutaka watoto wake watumie iPhone
Utatumiaje vifaa vyao ambavyo vinaharibu maadili ya Mtanganyika?Naona mashoga mnakejeli maadili ya kitanzania mkidhihaki tufuate na kuachana na teknolojia za kisasa na vifaa vyake kwa kuwa mnaona vifaa vingi vinatengenezwa na wenye utata wa mambo ya jinsia. Maji na tope vina uhusiano lakini hatuachi kunywa maji kwa kuwa yanatoka kwenye tope, kuna uwezokano wa kunywa maji safi kwa kuyachuja na kuyachemsha kuua vimelea vya magonjwa kisha kuyatenganisha na tope. Vifaa tutatumia ila utamaduni wao hatutaki, sisi tuna utamduni na maadili yetu tusililazimishwe kufuata ushetani wao
tunakataa nguruwe lakini ngamia tunakulaHatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake.
Hata androids zipigwe marufuku, kiufupi simu zote na komputa zikataliwe, maadili ya Mtanganyika yalindwe, huoni hivyo vifaa vina vimelea vya ushoga kwa Watanganyika?Acha ushamba android nao wan aishara zile zile ww sema uliachwa na kidemu chenye iPhone sasa unaleta makasiriko. Umaskini wako usifanye kila mtu akaon unachowaza ww ni sahihi ww pambana na hali yako.
Atatokea tu,Ajitokeze mtu bas ajitolee,nisijekufa sijamiliki jamani [emoji17]
Tufurahi tu tuongeze siku za kuishiVitu vingine vinachekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mleta mada anatatizo hataki kusema tena watu kama hawa wakiombwa ndogo kidogo tu hata kama unamtania unashangaa ashakupa muda mrefuHata androids zipigwe marufuku, kiufupi simu zote na komputa zikataliwe, maadili ya Mtanganyika yalindwe, huoni hivyo vifaa vina vinyemelea vya ushoga kwa Watanganyika?
Waliowengi huko ni iPhone kazi ipo wanakuambia udukuzi wake mgumu kidogo sikm androidduh_ we jamaa balaa sasa mbona hili. kwa mtazamo wako nakupa ok. mimi sina la kuchangia.
😊,Vp uko poa lakini? Pasaka imekwendaje?Atatokea tu,
Vuta subira [emoji847]
Eeeh mwaya naona kila kitu kinachangia LGBTQ sasa hiviTufurahi tu tuongeze siku za kuishi
Itafika mahali watu wataanza kuupiga mawe upinde wa mvua huko mawinguni [emoji23]Eeeh mwaya naona kila kitu kinachangia LGBTQ sasa hivi
Pasaka yangu imekua mbaya sana, nina mafua na kifua yaan kama jana nilishinda kama kuku mwenye mdondo, leo angalau kidoooogo ila bado sijatoka nje,[emoji4],Vp uko poa lakini? Pasaka imekwendaje?
Pole sana,,tumia maji moto kamulia ndimu ......huku ukiendelea kunywa dawaPasaka yangu imekua mbaya sana, nina mafua na kifua yaan kama jana nilishinda kama kuku mwenye mdondo, leo angalau kidoooogo ila bado sijatoka nje,
Sijui kwako tu
Aisee basi hii kitu imewapata wengi.Nikisema mzima nitakosea nina mafua makali sana Dokta mwenzangu,
Sijui weye, Mzima???
Sawa dear, nafanya hivyo sipendi kuumwa[emoji1785]Pole sana,,tumia maji moto kamulia ndimu ......huku ukiendelea kunywa dawa
Eeh mafua yamewapata wengi nadhani mabadiliko ya hali ya hewa,Aisee basi hii kitu imewapata wengi.
Nami nilikua nayo siku 3 nyuma yalikua makali na homa juu. Sasa niko mzima.
Pole sana dokta mwenzangu. Mola atakuafu.