Serikali izuie matumizi ya iPhone, tulinde maadili yetu

Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini? Turudi posta na kwenye umizimu.

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake.

Mimi na wanakijiji wenzangu wa ardhi ya mbambadu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.
Mental case.
 
Sitakii tena, naogopa [emoji23][emoji23][emoji174]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaogopa KURITHI tabia iliyo kinyume na mila za kitanganyika?

Nipe mimi ntajua cha kufanya [emoji39][emoji16]
 
Kuna shoga moja mtandaoni halina aibu, lina simu ya gharama linatamka wazi kuwa limeipata kwa kubunyuliwa, linawashauri vijana kana nao wanataka simu kali wabunyuliwe. Turudi kwenye mada, kupiga marufuku matumizi ya simu ni shughuli pevu, ndoana yenye chambo imenasa kuitoa ni shughuli pevu. Ajenda ya ushoga inabebwa na vitu vingi sana, tena iko wazi, ukikwepa huku kule wanakupa, nyanja zote wahuni wameziteka. Ni vita ngumu inayotaka ustadi wa hali ya juu kuishinda
 
Yule wa Tiktok?
Wajidanganye
Watabinuliwa kwa ahadi hewa mwishowe

Kuwa na bwana mwenye hela ni moja.
Kuhongwa ni mbili
Na wewe muhongwaji uwe na akili za nidhamu ya matumizi ni jambo lingine.
 
Sijui serikali inasubiri nini, ukizingatia kwamba kampuni inayounda simu za iPhone inamilikiwa na watu wenye utata wa kijinsia.

Na sisi kama Tanganyika tumedhamiria kulinda maadili yetu kwa jasho na damu. Lazima tupinge kweli kweli hadi mishipa ya shingo ipasuke.

Ni unajisi, hatuwezi kuruhusu matumizi ya iphone huku tukijua kuwa waundaji wake wanajihusisha na yale maswala! Kwanini? Turudi posta na kwenye umizimu.

Hatuwezi kukataa nguruwe kisha tukala mchuzi wake.

Mimi na wanakijiji wenzangu wa ardhi ya mbambadu tumedhamiria kupambana na kila picha ya upinde tutakayoiona popote hata kwenye gazeti. Tutafoka.

Serikali ya mama samia ihakikishe inafungia simu zote za iphone. Tulinde MILA zetu za kitanganyika.
Anzeni kwanza kukataa misaada yake hata kwenye sekta ya afya tu!!mwambie beberu kuanzia leo hatutaki ARV'S zako za bure tunaanza kununua kwa pesa zetu!!uone kama wagonjwa wenu hawata pata shida!!panadol tu zinawashinda hiyo dose ya karibia laki 5,kwa kila mgonjwa kwa mwezi mtaiweza?!!
 
Back
Top Bottom