YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24
Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi.
Nilikuwa Nigeria niliingia saa nne usiku hotelini wakaniambia muda wangu wa kutoka ni kesho usiku muda kama huo huo nilioingia.Wanahesabu MASAA 24 kamili bila kupunja
Tanzania hata uingie saa nane usiku hotelini wanataka saa nne asubuhi uachie chumba wakati umelipia siku nzima wao wanakulaza masaa machache tu na kukwambia toka kama vile wewe ni changudoa uliyeenda kupanga chumba short time
Wanasheria bebeni hili kesi buruzeni wamiliki mahoteli mahakamani wakome wizi