Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Kwenye ukweli tuseme ukweli- DAIMOND- hana mpinzani Tanzania-hakuna mwanamziki wa level yake

Hapa ndo mnapochanganya mambo sasa, ndg yangu msilalamikeee, kigezo cha TUZO ZA WATU kilikuwa kupendwa, hayo mengine ni yako
 
Point ya huyu mtu wa degree tatu ni ilikuwa kwa daimondi kwa mamis kazugia tuu maana duu kakazania kweli kweli.
But my side naona alikiba anadeserve kupewa na sio.daimondi maana alikiba anapendwa ila sio mtuu maarufu kama daimondi.soo kuwa na followers weng facebook,instagram au any were else si uthibitisho kuwa unapendwa maana unaweza kuwa na followers weng wa kutoka njee na sio hapa na tuzo za watu.hupigwa na watanzania.fanya kumbukumbu za akina jumanature ndo utanielewa namaanisha nini.back to miss tanzania ukiangalia wengi huwa ni wake za wenye pesa na.sio main point ya miss so basata wako.sawa kuwa fungia

Kwanza diamond hakuomba kura
 
Unachotaka kutuambia kuwa Consumers hawana nguvu kwenye ku determine Ubora wa products wanazotumia? Kwamba wewe ndo wa kuwachagulia product gani waipende na ipi waichukie?Try to be reasonable sometimes!Consumers ndio waliopigia kura ubora ama product wanayoipenda,hilo tu lingekuwa suala la wewe kuamka na kushtuka na kumshauri Diamond nini cha Kufanya badala ya kulala na kujiamini kuwa Unapendwa.If Time changes,Things also changes,Life is never Dormant, it is Static!Kila unapodondoka chukulia hiyo ni Changamoto,amka,angalia kilichokuangusha,Weka Umakini kisikudondoshe tena. Kwa leo naomba nikushauri Hivyo!

- hahaha changamoto gani unayoisema akaanze kutoa rushwa kusidi shinde tuzo msanii maafuru wa Afrika nzima? Umenndika na English kama mtu aliyeenda shule ila reasoning capacity yako bado ni ile ile ndogo sana, Consumer huwa wanaamua uzuri wa poroduct kwa kura sasa mbona zinaleta magomvi kwenye siasa kila siku hapa bongo? pole sana na wewe hujaelewa somo!!

Le Mutuz
 
- Huwa ninapata taabu sana kujibu nonsense!!

Le Mutuz

Teheee teheee hakika kama haupo kwenye payroll Diamond lazima ufikiriwe na uyu dogo maana unatumia nguvu nyingi naamini hizi nguvu zingeenda Tunduma hakika kibanda chetu kingekua kimeisha kukarabatiwa.
 
- Kazi ya usanii maana yake ni Kipaji kinaweza kuamuliwa kwa kura kama kuna ushindani wa kweli, sasa Tanzania hakuna ushindani Diamond anawaacha wote maili 20 sasa unaamuaje kwa kura kama sio uhuni na ujanja ujanja!1

Le Mutuz

Unaposema diamond anawazidi wengine hapo ndio unaleta mapenzi kila Msanii ana kipaji tofauti na mwingine kama uimbaji Wa Ben pol ni tofauti na diamond kila wote ni wasanii kama Ben pol awekwe na diamond live utaona utaofauti Wa vipaji vyao hii tasnia ya mziki imearibiwa na watu tangu zamani acha kura ziamue kama zamani ata diamond aliposhinda tuzo 7 kura ndio zilizoamua
 
Utetezi wako huku haukubaliki, peleka Celeb....., huku tunaangaika na kumtafuta Rais bora tu kwa ajli ya kuwatoa watu kwenye usanii na kujenga nchi, hatuitaji nchi ya wasanii tunaitaji nchi ya wanasayansi wanaotengeneza ajira za watu wengi kupitia viwanda sio hawa wabwia unga na kuuza miili ebooo!!!

- Kwa maelezo yako tu inaonyesha haya hayakuhusu ungeenda tu huko unakolilia mkuu hahahaha

Le Mutuz
 
Pia Mkuu W. J. Malecela ningekubaliana na wewe, iwapo ungekua na msimamo kwenye mambo yote.Mi naomba facts kwamba hii haina tofauti na wanaosema "walio afiki waseme ndio...Ndiooooooooooooo!!"Au mfano, kwa situation iliyopo sasa kati ya Ally kiba na diamond, maamuzi yangefanyika uwanja wa taifa kwa kusema "Wanao mkubali Kiba waseme ndio" , na mc asikilize sauti tu ya ndioooooooo, unadhani diamondi angeshinda?
 
Last edited by a moderator:

- Tunaongela kipaji au siasa hapa?

Le Mutuz
 
Teheee teheee hakika kama haupo kwenye payroll Diamond lazima ufikiriwe na uyu dogo maana unatumia nguvu nyingi naamini hizi nguvu zingeenda Tunduma hakika kibanda chetu kingekua kimeisha kukarabatiwa.

- hahahahaha nonsense hahahah

Le Mutuz
 
- Ina maana JB na Mzee Majuto hawakuomba? ndio maana ninasema ni nonsense!1

Le Mutuz

Diamond alishawadiscourage tangu mwanzo mashabiki wake maana alisema hataomba kura na wala hajafanya kampeni za kuomba kura,sasa Kama kigezo cha ushindi ni kuangalia kura nyingi kwanini unaona ajabu kiba kushinda maana kiba kaomba na kafanya kampeni.
 
- hahahaha nikikujibu nitakuwa sawa na wewe na huu uwezo mdogo sana wa kufikiri sorry!! hahahahah

Le Mutuz

Umekosa majibu na yamekuingia vizuri.

Ungekuwa na uwezo wa kufikiri ungekuja kutetea uozo?

Baba'ko alishindwa uwezo wa kufikiri na kijana mdogo sana pale Mtera. Itakuwa wewe? Fikiri.
 
- Tunaongela kipaji au siasa hapa? Le Mutuz
Kila kitu ni kipaji,(nisiende in details sana) hata siasa ni kipaji ndo mana kuna darasa la saba wanasiasa na maprof wanasiasa.Kule bungeni kuna wenye vipaji vya kuongea sana na wengine hawana vipaji vya kuongea/kupanga hoja,. Kwa iyo hapa ni vipaji katika nyanya tofauti.
 
Umekosa majibu na yamekuingia vizuri.

Ungekuwa na uwezo wa kufikiri ungekuja kutetea uozo?

Baba'ko alishindwa uwezo wa kufikiri na kijana mdogo sana pale Mtera. Itakuwa wewe? Fikiri.

- Nonsense nikjibu nitakuwa kama wewe na uwezo mdogo sana wa kufikiri mimi sio level yako pole sana tafuta level yako wapo humu!! hahahahahaha

Le Mutuz
 
Kila kitu ni kipaji,(nisiende in details sana) hata siasa ni kipaji ndo mana kuna darasa la saba wanasiasa na maprof wanasiasa.Kule bungeni kuna wenye vipaji vya kuongea sana na wengine hawana vipaji vya kuongea/kupanga hoja,. Kwa iyo hapa ni vipaji katika nyanya tofauti.

- Kipaji cha Sanaa huwezi kulinganisha na kipaji cha siasa ni vitu viwili tofauti, Diamond hana mpinzani Tanzania kuanzia muziki wake mpaka maisha yake sasa unasema siasa inahusika vipi hapo?

Le Mutuz
 
- Sijawahi kuomba wala kugombea Ukuu wa Wilaya, I am a business man karibu sana ofisini kwangu hapa Tancot House 2nd Fl, gharama tu ya kuendesha ofisi yangu inaweza kua ni mshara wa Mkuu wa Wilaya mara tatu so sio mimi kaka mtafute mwingine mwenye hizo lawama za Ukuu wa Wilaya, hahahahahaha U know

Le Mutuz
AAaaah Le Mutuz...Nakumbuka zamaaani ukiwa na
Audi yako nyeusi mziki mkubwaaa
Wengine walikuwa bado hawajaja mjini....
 
Back
Top Bottom