Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Anachokifanya Le Mutuz ni kuwachanganya akili waandaaji wa Kili Music Award ili wampe ushindi Diamond Katika cartegory zote alizoshindanishwa. Ukimsoma kwa makini utaona ndio lengo lake na sio Hizi tuzo za watu zilizopita! Kama anabisha aseme!
 
- Yaani mimi nina uwezo wa kuwafanya KILI wampe zawadi hata kama hsatahili please mbona unanikuza sana!!

Le Mutuz
 
- Sasa nikiendelea kujadili na mtu kama wewe nitakuwa vibaya sana kiakili maana Channel O siamini kwamba walimpa Diamond ushindi kwa kura peke yake unlesss kama na wewe ulishiriki kwenye maamuzi, ni kweli nina mapenzi sana na Dimaond maana ndiye Mtanzania wa kwanza kulikomboa Taifa langu na muziki, ila kura za Kusema Diamond sio Msanii anayependwa bongo ni simply foolish!!

Le Mutuz
To a hoja diamond kaibiwa kura jina lake limechakachuliwa au tujue wewe unalalamika kaonewa kaonewa kaonewa nini kama kura zimepigwa na wananchi tumepiga kura sio kila mtu anampenda diamond kura ndo zitaamua nani awe nani dunia mzima kura ndio muamuzi ukiona amewekwa kushiriki katika tuzo ujue kila mmoja ni bora ndio maana maamuzi ya mwisho ni kura Kwa kila kitu
 
Basi na iwe ivi:-
Msanii bora wa kiume-Diamond
Msanii bora wa kike-Diamond
Rapa bora wa bendi-Diamond
Wimbo bor taarabu- Nasema nawe
Wimbo bora bendi-mdogo mdogo
Msanii kike anaependwa-Diamond
Muigiza bora wa kike-Diamond
Msanii alie import mke-Diamond

Maana ishakua kero sasa kutwa mnapiga kelele wakati kura zenu hazikutosha na mlivyo sasa baada mkae na uyo mwenzenu aombe kura kwenye hizi za Kili mpo mnaendeleza majungu na kuziponda uku mnapeleka lawama kwa watu nashindwa kuelewa timu ambayo haikubali kua kushindwa ni challenge tu na la msingi ni kijipanga,kuna muda naamini Diamond ana juhudi na mtazamo chanya kwa kipaji chake ila anazungukwa na majehu mengi hasa baada kufika hapo alipo mfano mtu kama uyu anaelalama kama mtoto wa miaka 10 badala ya kumshauri dogo afanye nini analia tu hapa kibwege ingekua Diamond analialia kama ivi wala usingemjua ila anakaza acheni kumsemea wazembe wakubwa nyie mnamfanya awe boya sasa ukiona hautaki challenge anzisha awards zako mpe zote.
Ivi mmesahau jinsi kili music awards zilivyolalamikiwa kuwasahau Belle 9 kipindi kile wanatoka na Diamond ikaonekana kipaji cha Belle 9 kilistahili ila akapewa nafasi Diamond rudi nyuma uone lawana za Diamond kupewa tunzo 7 leo mnawageuka watu wote na lawama za ki-kaka poa kisa tuzo za watu mbona wenzie wanasonga mbele pamoja na kujua kua kuna kundi linamkingia kifua Diamond kwenye media,kumbuka music industry ina vitu vingi sana vinavyoendelea kama vipi Diamond aanze kusema amebebwa mara ngapi nyambafuuuuuu.
 
- hahahaha kwenye Tuzo walipiganisha Blog/website JF ni website so pole sana kama ulikuwa hujui, hahahahahaha

Le Mutuz

Bro...website ni njia ya interaction tu...kinacholeta utofauti ni aina ya interaction.
Mfano: Forum inaruhusu interaction kati ya users.... na users wote wana haki sawa ndani ya jukwaa (wanaweza ku comment na kuanzisha threads etcs).
Tukija kwenye Blog....Owner wa blog pekee ndo anaweza kuanzisha thread na watu wengine ndo wanaweza kuchangia...mara nyingi blogs huitaji kufanya usajiri kabla ya ku post comments..
 
Acha kujifagilia hicho kiblog (copy & paste) kinakaribia kujifia chenyewe ndio unataka kukipaisha hapa.Hao vijana watano labda kama unawalipa 50,000/= per month.

- Watatu kati yao wana First Degrees utakufa wewe kabla ya blog yangu hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
To a hoja diamond kaibiwa kura jina lake limechakachuliwa au tujue wewe unalalamika kaonewa kaonewa kaonewa nini kama kura zimepigwa na wananchi tumepiga kura sio kila mtu anampenda diamond kura ndo zitaamua nani awe nani dunia mzima kura ndio muamuzi ukiona amewekwa kushiriki katika tuzo ujue kila mmoja ni bora ndio maana maamuzi ya mwisho ni kura Kwa kila kitu

- Kazi ya usanii maana yake ni Kipaji kinaweza kuamuliwa kwa kura kama kuna ushindani wa kweli, sasa Tanzania hakuna ushindani Diamond anawaacha wote maili 20 sasa unaamuaje kwa kura kama sio uhuni na ujanja ujanja!1

Le Mutuz
 
Basi na iwe ivi:-
Msanii bora wa kiume-Diamond
Msanii bora wa kike-Diamond
Rapa bora wa bendi-Diamond
Wimbo bor taarabu- Nasema nawe
Wimbo bora bendi-mdogo mdogo
Msanii kike anaependwa-Diamond
Muigiza bora wa kike-Diamond
Msanii alie import mke-Diamond

Maana ishakua kero sasa kutwa mnapiga kelele wakati kura zenu hazikutosha na mlivyo sasa baada mkae na uyo mwenzenu aombe kura kwenye hizi za Kili mpo mnaendeleza majungu na kuziponda uku mnapeleka lawama kwa watu nashindwa kuelewa timu ambayo haikubali kua kushindwa ni challenge tu na la msingi ni kijipanga,kuna muda naamini Diamond ana juhudi na mtazamo chanya kwa kipaji chake ila anazungukwa na majehu mengi hasa baada kufika hapo alipo mfano mtu kama uyu anaelalama kama mtoto wa miaka 10 badala ya kumshauri dogo afanye nini analia tu hapa kibwege ingekua Diamond analialia kama ivi wala usingemjua ila anakaza acheni kumsemea wazembe wakubwa nyie mnamfanya awe boya sasa ukiona hautaki challenge anzisha awards zako mpe zote.
Ivi mmesahau jinsi kili music awards zilivyolalamikiwa kuwasahau Belle 9 kipindi kile wanatoka na Diamond ikaonekana kipaji cha Belle 9 kilistahili ila akapewa nafasi Diamond rudi nyuma uone lawana za Diamond kupewa tunzo 7 leo mnawageuka watu wote na lawama za ki-kaka poa kisa tuzo za watu mbona wenzie wanasonga mbele pamoja na kujua kua kuna linamkingia kifua Diamond kwenye media,kumbuka music industry ina vitu vingi sana vinavyoendelea kama vipi Diamond aanze kusema amebebwa mara ngapi nyambafuuuuuu.

- Huwa ninapata taabu sana kujibu nonsense!!

Le Mutuz
 
Huwa sisahihishi "typing" error, huwa nasihihisha Kiswahili kinapopotoshwa, hususan kwenye "R" na "L". Lakini nnafurahi ikiwa nimekosea "typing" na mtu akanionesha, huwa nnakwenda kurekebisha.

Siku hizi wewe hukosei kwenye "R" na "L" umefaidika sana na darsa la FaizaFoxy.

Well done Faiza. na Hizo 'nna' ni typing error, swagga au ndo modeliwe?
 
Bro...website ni njia ya interaction tu...kinacholeta utofauti ni aina ya interaction.
Mfano: Forum inaruhusu interaction kati ya users.... na users wote wana haki sawa ndani ya jukwaa (wanaweza ku comment na kuanzisha threads etcs).
Tukija kwenye Blog....Owner wa blog pekee ndo anaweza kuanzisha thread na watu wengine ndo wanaweza kuchangia...mara nyingi blogs huitaji kufanya usajiri kabla ya ku post comments..

- Ninasema hivi yalikuwa ni mashindano ya Blog/Website sina uhakika unasema nini mkuu

Le Mutuz
 
Anachokifanya Le Mutuz ni kuwachanganya akili waandaaji wa Kili Music Award ili wampe ushindi Diamond Katika cartegory zote alizoshindanishwa. Ukimsoma kwa makini utaona ndio lengo lake na sio Hizi tuzo za watu zilizopita! Kama anabisha aseme!
Kwenye ukweli tuseme ukweli- DAIMOND- hana mpinzani Tanzania-hakuna mwanamziki wa level yake
 
Naona umenyimwa fursa za kupiga picha na vidosho sasa unalia lia na BASATA. Nani kakwambia Diamond anapendwa na wengi peke yake kumbuka Alikiba naye anapendwa sana. Halafu jamiiforum sio blog usiiweke kwenye hiyo category unaidhalilisha, kwa millard ayo sawa acha wivu

Yaani jamaa anataka kulazimisha watu wote wampende domo, akwende zake huko na domo wake bana!! Kama anampenda yeye ni yeye asitulazimishe na sisi, kama vipi aanzishe tuzo zake asitulilie hapa.
Halafu alivyo wa ajabu eti hataki funs ndo waamue mshindi kwa kura, anataka majaji ili domo apendelewe loh!!
Ushauri: mwambie domo ahamasishe funs wake wampigie kura aache dharau, vinginevyo mtakuwa mnalia lia tu hivi

Hata hajui blog ni nini kumbe, yaani jamiiforums ni blog??? akyanani!!
 
- Kura haziwezi kuamua mshindi wa Sanaa ni kazi za Wasanii ndio zinatakiwa kuamua uzuri wa Vipaji vyao, huwezi kusema Diamond sio mwanamuziki mwanaume anayependwa Tanzania honestly ni ujinga wa hali ya juu sana hata kuusema in the public!!

Le Mutuz

Unachotaka kutuambia kuwa Consumers hawana nguvu kwenye ku determine Ubora wa products wanazotumia? Kwamba wewe ndo wa kuwachagulia product gani waipende na ipi waichukie?Try to be reasonable sometimes!Consumers ndio waliopigia kura ubora ama product wanayoipenda,hilo tu lingekuwa suala la wewe kuamka na kushtuka na kumshauri Diamond nini cha Kufanya badala ya kulala na kujiamini kuwa Unapendwa.If Time changes,Things also changes,Life is never Dormant, it is Static!Kila unapodondoka chukulia hiyo ni Changamoto,amka,angalia kilichokuangusha,Weka Umakini kisikudondoshe tena. Kwa leo naomba nikushauri Hivyo!
 
Yaani jamaa anataka kulazimisha watu wote wampende domo, akwende zake huko na domo wake bana!! Kama anampenda yeye ni yeye asitulazimishe na sisi, kama vipi aanzishe tuzo zake asitulilie hapa.
Halafu alivyo wa ajabu eti hataki funs ndo waamue mshindi kwa kura, anataka majaji ili domo apendelewe loh!!
Ushauri: mwambie domo ahamasishe funs wake wampigie kura aache dharau, vinginevyo mtakuwa mnalia lia tu hivi

Hata hajui blog ni nini kumbe, yaani jamiiforums ni blog??? akyanani!!

- hahahahahaha nikikujibu nitaishia kuwa kama wewe hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- Wameanika miili yao ina maana imelowa au what? Halafu waliwahi kukuuzia miili yao?

Le Mutuz

Utetezi wako huku haukubaliki, peleka Celeb....., huku tunaangaika na kumtafuta Rais bora tu kwa ajli ya kuwatoa watu kwenye usanii na kujenga nchi, hatuitaji nchi ya wasanii tunaitaji nchi ya wanasayansi wanaotengeneza ajira za watu wengi kupitia viwanda sio hawa wabwia unga na kuuza miili ebooo!!!
 
Back
Top Bottom