Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Serikali iwatupie jicho kali BASATA

- Ok so unasema kwamba aliyeshinda Mwaka jana Tuzo 3 za Afrika halafu akaitwa BET akaitwa ku perfome Nigeria kwenye Show kubwa sana Afrika, anatakiwa kushindana na aliyeacha muziki aakamua kurudi bila kuwa Tuzo wala kuitwa nje ya nchi unasema hiyo process iko sawa?

Le Mutuz
Sasa na yeye ndo kaanza kuwa na tuzo sasa.
 
Mimi sio mfuatiliaji sana wa haya mashindano ya u-mis ila nilijifunza kuhusu ushindi wa Ali Kiba,ni kuwa vigezo na masharti ya shindano yalizingatiwa.
Hata hivyo huyu Babu mtoto wa Malecela hana kazi ya kufanya yenye kumletea heshima Baba yake na mama yake wa kambo?
Zee kama hili linajichekesha na kurembua mitandaoni badala ya kufikiria vitu vya msingi kwa taifa kama baba yake?
 
Nimesoma mwanzo tu nikapuuzia. Hivi haya mashindano ya kuonyesha maumbile ya mwanamke yanatusaidia nini hata kama yangefungiwa miaka 200?
 
- Wewe simama hapa ujibu mapigo wacha kuwa pwanya Road huwezi kusimama mwenyewe, sema hoja kama unayo!!, wewe umenisikia mimi namuita mtu simama hapa kama kweli una hoja!!

Le Mutuz

Kwani wew apo umeitwa? Wew ndo cute b? Acha kupangia watu jinsi ya kucoment...izo hoja zenyewe zipi wivu tuu eti ndo mmeona saivi tuzo zina makosa. Hahahaaaa kiba kiboko yenu na uache kuparamia sehemu ambayo hujaitwa wewe. Unajua katuitia nini? Tulia sindano iwaingie na hiyo ni rasha rasha kiba ndo mpango mzima.
Jinyonge na kamasi Shardcole nakukubali kinomaa uniite kila siku..
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nifah , cute b , seif matar njooni huku kuna mtu anajaribu kupima kina cha bahari kwa fimbo.

Huyu mtoa uzi kavurugwa tayari...sijui yupo dunia gani asiyejua kiba ndo mfalme tangu na tangu... chuki tuu zimemganda kama ukoko wa jungu kuu....eti umetuita anakushobokea anatafuta kiki kwako au? Watu wengine bhaana ni kichefuchefu.
 
Last edited by a moderator:
sorry for you shati la vitz.. ni bora uchukue jembe ukalime upunguze huo mwili kuliko kuandika makorokocho ..haha
unajifanya una huruma sn na hao mabint kumbe una yako, by the way hivi Diamond kukosa tuzo za watu inakukosesha ugali ee?? umeshadadiaaaa

hakuna lolote la maana uliloandika hapo zaidi ya kuwa na maself interest yako na ishu hzi. Waacheeee BASATA wapumuueeee mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
- Tanzania sasa Ni Capitalism sio Communist tena kwenye ubepari kila mwananchi anapewa nafasi ya kujaribu anachoweza Wasichana waachiwe wafanye wanayoweza na wanaume wafanye wanayoweza!!

Le Mutuz


Bro, Tanzania haijawahi kuwa communist country wala sasa si capitalist country. Kwa mtu mwenye degree tatu na mwanachama wa CCM you are supposed to know that.
 
Back
Top Bottom