Si uanzishe ambazo siyo biashara?ambazo zitakuwa ukweliHizi tunzo za watu ni biashara tuu ndio mana wanajali idadi ya sms na sio ukweli...
Si uanzishe ambazo siyo biashara?ambazo zitakuwa ukweliHizi tunzo za watu ni biashara tuu ndio mana wanajali idadi ya sms na sio ukweli...
hahahahaha,huoni kama nisipoingia inapunguza number ya viewers?pangilia vizuri blog yako,pia weka habari unique sio kila mara copy and paste- Blog yangu inapitiwa na viewers 50,000 kwa siku ulipokuwa unaiongia na umeacha hakuna kilichobadilika blog yangu inawaajiri Vijana watano wenye familia zao wanaotegemea mshahara kutoka kwenye hiyo hiyo blog, ni vyema usiingie tena maana toka uache kupitia tunaongeza sana matangazo ya biashara, hahahahahahahaha
Le Mutuz
Mkuu unaongeleaje matokeo ya serikali za mitaa, pale upinzani unaposhinda, kuapishwa kunakua kwa mbinde, pia uamuzi wa mahakama kule bukoba, tukiweka unafiki na ukereketwa pembeni?
Mzee wa akili kubwa nmekuelewa sana na tanzania tunahitaji vijan kama ww wenye kukemea mambo yanapokwenda ndivyo sivyo...ubatikiwe sana basata washakuelewa
kwa hiyo wewe umepewa kazi na diamond?eti una degree tatu!!!!labda una phD(playa hater degree)- Ina maana wewe Dimaond ni mdogo wako so inakufanya kuwa sawa kumchukia kwa sababu ni mdogo kwako? duh your capacity of thinking ni bure sana mkuu, sasa niambie yule mlinzi wake na yeye nani mkubwa kwa umri kwa hiyo mlinzi wake aacha kazi maana anamzidi umri? hahahahaha unaona kichwa chako kilivyo na hewa nyingi hahahahaha
Le Mutuz
hahahahaha,huoni kama nisipoingia inapunguza number ya viewers?pangilia vizuri blog yako,pia weka habari unique sio kila mara copy and paste
Le mutuz ni kijana! Embu mtake radhi.
Kama vipaji ndio kiwe kigezo naamini kuna wasanii wanavipaji na kazi mzuri sana kura ndio mwamuzi Wa kila kitu diamond aliposhinda tuzo za Chanel o akuwa anamzidi davido kipaji sema kura ndizo zilizoamua na pia wanaigeria walipiga kelele kama unazopiga wewe kuna wasanii wanavipaji vyakusoma mpaka code za mziki na kipiga vyombo ambao wakikaa na diamond afurukuti kwenye shoo wewe unamapenzi na diamind ndio tatizo kura zimeamuliwa na wananchi kura ndio ufumbuzi Wa nani zaidi sio watu wachache- Kura haziwezi kuamua mshindi wa Sanaa ni kazi za Wasanii ndio zinatakiwa kuamua uzuri wa Vipaji vyao, huwezi kusema Diamond sio mwanamuziki mwanaume anayependwa Tanzania honestly ni ujinga wa hali ya juu sana hata kuusema in the public!!
Le Mutuz
kwa hiyo wewe umepewa kazi na diamond?eti una degree tatu!!!!labda una phD(playa hater degree)
- Blog yangu inapitiwa na viewers 50,000 kwa siku ulipokuwa unaiongia na umeacha hakuna kilichobadilika blog yangu inawaajiri Vijana watano wenye familia zao wanaotegemea mshahara kutoka kwenye hiyo hiyo blog, ni vyema usiingie tena maana toka uache kupitia tunaongeza sana matangazo ya biashara, hahahahahahahaha
Le Mutuz
kila mwananchi anapewa nafasi ya kujaribu anachoweza Wasichana waachiwe wafanye wanayoweza na wanaume wafanye wanayoweza!!
halafu stop laughin like an idiot each time..you are embarrassing yourself even more old man!!!!!- hahahahahah tizama ulikoanzia mpaka ulipofikia mbona kama hujielewi au? hahahahaha
Le Mutuz
Kama vipaji ndio kiwe kigezo naamini kuna wasanii wanavipaji na kazi mzuri sana kura ndio mwamuzi Wa kila kitu diamond aliposhinda tuzo za Chanel o akuwa anamzidi davido kipaji sema kura ndizo zilizoamua na pia wanaigeria walipiga kelele kama unazopiga wewe kuna wasanii wanavipaji vyakusoma mpaka code za mziki na kipiga vyombo ambao wakikaa na diamond afurukuti kwenye shoo wewe unamapenzi na diamind ndio tatizo kura zimeamuliwa na wananchi kura ndio ufumbuzi Wa nani zaidi sio watu wachache
JF ni Forum sio Blog mkuu
hizo zinaitwa akili za ndoa za njisia moja.
Tuko pamoja mkuu,. Ila kwenye evidence na facts sijakuelewa, umejuaje vigezo walivyotumia waandaaji katika kumpata mshindi? what if ilikua ni kura tu?Hata kwenye siasa,BBF etc kura ndo zinaamua na mara nyingi sio ubora wa mtu.- Mkuu unanijua mimi sijawahi kuweka ujinga mbele makosa ni makosa hata yakifanywa na chama changu CCM nitasema as long kuna FACTS na EVIDENCE so weka hapa kama zipo nitakuunga mkono!1Le Mutuz