William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
- #181
Kwa hiyo ndiyo umekuja kututangazia kijanja kuwa unampenda huyo mwanaume au?
- hahahaha ina maana huwa unafanya hivyo au? hahahahaha
Le Mutuz
Kwa hiyo ndiyo umekuja kututangazia kijanja kuwa unampenda huyo mwanaume au?
- Duh hahahahahahaha sasa mbona na wewe umeshupaa ina maana ni kama ulivyosema au? hahahahahaha kumbe unalipwa kushupaa hapa? hahahahahahaha
Le Mutuz
Kwa hiyo ndiyo umekuja kututangazia kijanja kuwa unampenda huyo mwanaume au?
Tangu ili suala limeanza hii ni comment yangu ya pili imean kwanza ni hiyo hapo juu but nashangaa kila social network niliyoingia yaani niwewe unayeonekana kupiga kelele!hii ndio maana ya kushupaa.mm bro im living completely diff live na hii yako najua ndio huko unakopata income but mara nyingine punguza kuchukuliwa na emmotions kiasi cha kuanza kuonekana kichekesho
Hiyo Wizara husika sijaisikia siku nyingi, kulikuwa na Katibu Mkuu Kamuhanda sijui yupo au kaondoka maana mapanga mengi huko. Huyo katibu ni serious sijui kwanini hachukui hatua.
BASATA tangu alipostahafu mjomba Materego, serious man hakuna kitu tena. Sijui hawana succession plan, napata shida kidogo.
hunaga cha kufanya mkuu au Tatizo ni nini?
hebu basi ongelea urais kupitia CCM labda.....
Bro thread nzuri ila wote tunafahamu hasira zote hizi ni kwa sababu Ali Kiba alimbwaga Diamond kwenye Tuzo za Watu. Nilitegemea msomi kama wewe unaelewa tuzo zinazoendeshwa kwa mfumo huu kura za mashabiki ndio zinaamua mshindi kwa 100%, tafadhali pitia kwa waanzilishi wa Marekani People's Choice Awards: Fan Favorites in Movies, Music & TV - PeoplesChoice.com uangalie utaratibu wao kisha linganisha Tanzania People Choice Awards hakuna tofauti, popular vote ndio inaamua mshindi. Tuzo kama Kili ndio zinahusisha majaji kwa sababu toka hatua za awali zinahusisha Academy kwa hiyo kunahitajika majaji watakaohakiki. Kitu pekee ninachoweza kukwambia umshauri rafiki yako Diamond na team yake ni kuwa waache kudharau hizi tuzo za ndani. Majina yalipotangazwa Ali Kiba alipost Instagram na Facebook kuomba kura kwa mashabiki na team yake ilikuwa mstari wa mbele kupiga kampeni Instagram ikiwatumia watu wengine maarufu kumuombea kura. Upande mwingine Diamond hakuwa na time kabisa, ndio kwanza akaanza kuziponda tuzo za Kili mara baada ya Wema na Jokate kuanza kumpigia debe Kiba. Bado wiki mbili upande wa Kili kura zifungwe na ninakuhakikishia kuna kila dalili ya Diamond kuangukia pua kwa mara nyingine kama ataendelea na kiburi cha kutegemea eti kwa kuwa ni maarufu au ndiye mwanamuziki anaetambulika kuliko wote kwa sasa kwamba basi atapewa tuzo. Akamuulize Fid Q ambaye alikuwa na mentality hiyo hadi aliposhtuka mwaka jana baada ya kina Fella na Babu Tale kuendesha kampeni ya kumuombea kura na akapata tuzo mbili.
Kuhusu website maarufu, tambua kwamba Jamii Forums walikuwa wadhamini wa tuzo na hiyo moja kwa moja ilikuwa inawaondoa katika kinyang'anyiro. Na kama ulikuwa hujui website zenye traffic kubwa kwa sasa Tanzania ni Jamii Forums, Millard Ayo, Issa Michuzi, Global Publishers na Raha Tupu (ile ya ngono). Pamoja na hayo kura ndio ilikuwa inaamua kama wapenzi wa website tajwa hapo juu ukitoa JF na Millard hawakupiga kura kwa wingi usitegemee wataingizwa kwa kuwa tu ni "mafaza".
Miss Tanzania sifahamu sana, ila ninavyoelewa inaendeshwa na kampuni iliyopewa leseni na Miss World kwa hiyo BASATA hawana uwezo wa kuwaambia jamaa wawanyang'anye leseni ni sawa na Wizara ya Michezo isivyokuwa na uwezo wa kuwaambia CAF au FIFA wamtimue Malinzi.
- Kumbe unakuja hapa kwa vile huna cha kufanya? hahahahahahahahahhahaha
Le Mutuz
Mkuu endeleeni tu kupiga mayowe sisi tupo tunaendelea kupiga kura kwa wingi kwa KingKiba mpaka kieleweke.
Ndo mana nakwambia inategemea waandaaji wanatumia kategori gani kumpa ushindi muhusika, vinginevyo weka ushahidi washiriki walipewa vigezo vya ushindi vilivyoshindaniwa.- Please hahitaji kuwa na heshima na wapenzi wake anahitaji kuwapa wapenzi Sanaa tu, Michael Jackson hakuwa na heshima kabisa na weusi wenziwe lakini hakuna siku walimyima Tuzo, leo Tanzania huwezi kuwa serious na Tuzo za WAsanii wa muziki Diamond akaondoka bila TUZO ni simply foolish!!Le Mutuz