Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Haaa haaa hyuy jamaa ni shedaaaa kajisemea Marehemu Capt Komba.

Watu ndo waliochagua,sasa wewe unabisha nini?usipingane na mawazo ya watu,eti Diamond alijaza watu Mwanza nani kakuambia alijaza peke yake,kulikuwa na wananii wengi kama Yamoto band,Madee,H baba na wenginne kibao leo mnamuona Diamond tu,hapa nakujibu ujinga wako unaoandika kule insta,maana kule mtu akiandika na usivyotaka basi unamblock,hapa nakupa fact tu.Tatizo wivu ndo unakusumbua,kwani Mwanamziki Tanzania ni Diamond tu?Watu wamepiga kura kuwa wanampenda Kiba zaidi ya Diamond wewe unabisha nini?kama vipi anzisha tuzo zako ambazo utakuwa unachagua mwenyewe peke yako
 
Point ya huyu mtu wa degree tatu ni ilikuwa kwa daimondi kwa mamis kazugia tuu maana duu kakazania kweli kweli.
But my side naona alikiba anadeserve kupewa na sio.daimondi maana alikiba anapendwa ila sio mtuu maarufu kama daimondi.soo kuwa na followers weng facebook,instagram au any were else si uthibitisho kuwa unapendwa maana unaweza kuwa na followers weng wa kutoka njee na sio hapa na tuzo za watu.hupigwa na watanzania.fanya kumbukumbu za akina jumanature ndo utanielewa namaanisha nini.back to miss tanzania ukiangalia wengi huwa ni wake za wenye pesa na.sio main point ya miss so basata wako.sawa kuwa fungia
 
Huyu tatizo lake ni kiblog chake kunyimwa tuzo, kwanza mtu hana heshima kwenye jamii yaani amekaa kihuni huni wakati baba yake ana heshima kubwa kwenye jamii. Anapiga picha hovyo hovyo na vibinti vidogo utadhani anatokea kwenye familia ya kihuni
 
Hivi wewe unacholalamikia ni nini hasa Millard Ayo kupata tuzo? warembo wako kutoshoriki mashindano? Diamond kutopata tuzo? Hivi unadhani Diamond atakaa kileleni daima bila kushuka? Nadhani hapo utakuwa unajidanganya sana
Huyu alitaka blog yake ndo ichaguliwe,yaani kinamuuma sana wakati li blog lake limejaa macopy and paste hana ubunifu wowote,baba zima akili ndogo.Hana lolote .kang'ang'ania Diamond Diamond wakati tuna wasanii wengi tu hapa wazuri,Yaani huyu baba sijui yukoje.
 
Mzee pambana kumsaidia mtu wa kambi yako membee wanawake wote hao ulipiga nao picha hawajakutoshaa unaposema
Diamond anamzidi alikiba akili yako nakuwa siisomi
Na pia unapokuja kunimaliza kabisa palr unaposema jamii forum.ni blog nachoka kabisaaa
Usiache nianze kuamini kwamba mz3e alikupeleka abroad uende kukuaa sio kusoma upate exposure na Iq maana naona unayoyafanya are far apart with whats unachotakiwa kukifanya maishani mwakoo

Haaa haaa alienda kuendesha malori kuna mdau mmoja aliwahikumuumbua.
 
hakuna kizuri kisicho na kasoro hata tuzo kubwa duniani zinakosolewa.
Pili tabia ya kujudge vitu kwa hisia badala ya uhalisia itatumaliza.
Waliompigia kura kiba na djaro hawakukosea.
Msipende tu kukosoa nawe uanzishe za kwako tuone uwezo wako
 
Point ya huyu mtu wa degree tatu ni ilikuwa kwa daimondi kwa mamis kazugia tuu maana duu kakazania kweli kweli.
But my side naona alikiba anadeserve kupewa na sio.daimondi maana alikiba anapendwa ila sio mtuu maarufu kama daimondi.soo kuwa na followers weng facebook,instagram au any were else si uthibitisho kuwa unapendwa maana unaweza kuwa na followers weng wa kutoka njee na sio hapa na tuzo za watu.hupigwa na watanzania.fanya kumbukumbu za akina jumanature ndo utanielewa namaanisha nini.back to miss tanzania ukiangalia wengi huwa ni wake za wenye pesa na.sio main point ya miss so basata wako.sawa kuwa fungia
Huyu jamaa huyu sijui yukoje,hajui kama Diamond ana followers wengi sababu ya skendo na Wema sepetu wake,Sasa Zari,kwanza sio wote wanaomfollow ni ma fun wake,wngine ni mahater tu.Na suala la kuwa na followers wengi na kupiga kura ni vitu viwili tofauti,Huyu Le mutuz ana matatizo kabisa maana reasoning zake hazina mashiko kabisa
 
Haaa haaa alienda kuendesha malori kuna mdau mmoja aliwahikumuumbua.

Ehee maana jamaa simsomii
Kuwadi yeye kukuwadia wanawake wakina davis mosha. Na watu maarufuu na kupiga picha na mbebez ndio zakee kafeli kwenye siasa sababu ta mambo yakee dingi ake alikuwa jembe saana aise ila junior wake anayoyafanya ni sheeda tena sheeda kabisaa
 
Huyu alitaka blog yake ndo ichaguliwe,yaani kinamuuma sana wakati li blog lake limejaa macopy and paste hana ubunifu wowote,baba zima akili ndogo.Hana lolote .kang'ang'ania Diamond Diamond wakati tuna wasanii wengi tu hapa wazuri,Yaani huyu baba sijui yukoje.

- Nitakuwa mwendawazimu kulilia zawadi ya Blog na huku haikuwemo hata kwenye Category, unalalamika kama umekuwa nominated na umeshindwa, blog yangu imeanza Mwaka 2012 leo ni A registered Company inaajiri wafanyakaiz watano inaingiza Millions ya pesa inajiendesha yenyewe, na mimi sasa hivi I am working on a Radio na TV Station African Swahili Media, now nikishaingia kwenye RAdio na TV ndio my blog itakuwa kwenye position ya kuingia kwenye mashindano kama hayo, ndio maana hakuna website iliyotajwa ambayo haina connetion na RAdio au TV so relax na hizi nonsense!!

Le Mutuz
 
Ehee maana jamaa simsomii
Kuwadi yeye kukuwadia wanawake wakina davis mosha. Na watu maarufuu na kupiga picha na mbebez ndio zakee kafeli kwenye siasa sababu ta mambo yakee dingi ake alikuwa jembe saana aise ila junior wake anayoyafanya ni sheeda tena sheeda kabisaa

- Mkuu kuna Sheria mpya ya habari hao unaowataja majina yao wana wake zao, utatakiwa kutoa ushaidi utalia machozi ya damu pole pole na majina ya watu!!

Le Mutuz
 
Huyu jamaa huyu sijui yukoje,hajui kama Diamond ana followers wengi sababu ya skendo na Wema sepetu wake,Sasa Zari,kwanza sio wote wanaomfollow ni ma fun wake,wngine ni mahater tu.Na suala la kuwa na followers wengi na kupiga kura ni vitu viwili tofauti,Huyu Le mutuz ana matatizo kabisa maana reasoning zake hazina mashiko kabisa

- Reasoning za Diamond na Ali Kiba on what aibu hata kusema, mtu na akili zako timamu unaweza kusema Diamond ana mshindani Tanzania nani huyo? hebu tuliza kelele wewe

Le Mutuz
 
Haaa haaa alienda kuendesha malori kuna mdau mmoja aliwahikumuumbua.

- hahahaha ni kweli nilikuwa naendesha malori kulipia Shule ndio maana nikapata Degree 3 na sasa ninazitumia hapa ofisini kwangu bongo, unasema kuendesha malori kujisomesha Degree ni dhambi? really? hahahahahaha

Le Mutuz
 
Mzee pambana kumsaidia mtu wa kambi yako membee wanawake wote hao ulipiga nao picha hawajakutoshaa unaposema
Diamond anamzidi alikiba akili yako nakuwa siisomi
Na pia unapokuja kunimaliza kabisa palr unaposema jamii forum.ni blog nachoka kabisaaa
Usiache nianze kuamini kwamba mz3e alikupeleka abroad uende kukuaa sio kusoma upate exposure na Iq maana naona unayoyafanya are far apart with whats unachotakiwa kukifanya maishani mwakoo

- Nonsense!!

Le Mutuz
 
- Nitakuwa mwendawazimu kulilia zawadi ya Blog na huku haikuwemo hata kwenye Category, unalalamika kama umekuwa nominated na umeshindwa, blog yangu imeanza Mwaka 2012 leo ni A registered Company inaajiri wafanyakaiz watano inaingiza Millions ya pesa inajiendesha yenyewe, na mimi sasa hivi I am working on a Radio na TV Station African Swahili Media, now nikishaingia kwenye RAdio na TV ndio my blog itakuwa kwenye position ya kuingia kwenye mashindano kama hayo, ndio maana hakuna website iliyotajwa ambayo haina connetion na RAdio au TV so relax na hizi nonsense!!

Le Mutuz
Haikuwepo kwenye nominees kwa sababu haikuchagulia,maana hizi tuzo ni watu wamechagua mwanzo mwisho,hoja zako za Diamond kujaza watu hazina mashiko,Na subiri Kilimanjaro ndo utaongea mpaka basi ,Maana kama unampenda Diamond nilitegemea uhimize watu wapige kura,ila ndo unalalamika tu.Baadae matokeo yakitoka unaanza kulalamika tena,pole sana
 
hapa nmegundua mengine unazuga ila ttzo lako ni tuzo tu ayo ya u miss ni kupoteza maboya
 
Bro thread nzuri ila wote tunafahamu hasira zote hizi ni kwa sababu Ali Kiba alimbwaga Diamond kwenye Tuzo za Watu. Nilitegemea msomi kama wewe unaelewa tuzo zinazoendeshwa kwa mfumo huu kura za mashabiki ndio zinaamua mshindi kwa 100%, tafadhali pitia kwa waanzilishi wa Marekani People's Choice Awards: Fan Favorites in Movies, Music & TV - PeoplesChoice.com uangalie utaratibu wao kisha linganisha Tanzania People Choice Awards hakuna tofauti, popular vote ndio inaamua mshindi.

Tuzo kama Kili ndio zinahusisha majaji kwa sababu toka hatua za awali zinahusisha Academy kwa hiyo kunahitajika majaji watakaohakiki. Kitu pekee ninachoweza kukwambia umshauri rafiki yako Diamond na team yake ni kuwa waache kudharau hizi tuzo za ndani. Majina yalipotangazwa Ali Kiba alipost Instagram na Facebook kuomba kura kwa mashabiki na team yake ilikuwa mstari wa mbele kupiga kampeni Instagram ikiwatumia watu wengine maarufu kumuombea kura. Upande mwingine Diamond hakuwa na time kabisa,

ndio kwanza akaanza kuziponda tuzo za Kili mara baada ya Wema na Jokate kuanza kumpigia debe Kiba. Bado wiki mbili upande wa Kili kura zifungwe na ninakuhakikishia kuna kila dalili ya Diamond kuangukia pua kwa mara nyingine kama ataendelea na kiburi cha kutegemea eti kwa kuwa ni maarufu au ndiye mwanamuziki anaetambulika kuliko wote kwa sasa kwamba basi atapewa tuzo. Akamuulize Fid Q ambaye alikuwa na mentality hiyo hadi aliposhtuka mwaka jana baada ya kina Fella na Babu Tale kuendesha kampeni ya kumuombea kura na akapata tuzo mbili.

Kuhusu website maarufu, tambua kwamba Jamii Forums walikuwa wadhamini wa tuzo na hiyo moja kwa moja ilikuwa inawaondoa katika kinyang'anyiro. Na kama ulikuwa hujui website zenye traffic kubwa kwa sasa Tanzania ni Jamii Forums, Millard Ayo, Issa Michuzi, Global Publishers na Raha Tupu (ile ya ngono). Pamoja na hayo kura ndio ilikuwa inaamua kama wapenzi wa website tajwa hapo juu ukitoa JF na Millard hawakupiga kura kwa wingi usitegemee wataingizwa kwa kuwa tu ni "mafaza".

Miss Tanzania sifahamu sana, ila ninavyoelewa inaendeshwa na kampuni iliyopewa leseni na Miss World kwa hiyo BASATA hawana uwezo wa kuwaambia jamaa wawanyang'anye leseni ni sawa na Wizara ya Michezo isivyokuwa na uwezo wa kuwaambia CAF au FIFA wamtimue Malinzi.
 
Mbona unakwepa kuzungumzia hicho kiofisi chako au kwakuwa kimechoka sana,Jina lako lilikatwa kwakuwa unapenda kupiga picha na vibinti vidogo ndio ilikuwa sababu ya kunyimwa ukuu wa wilaya.Kazi ya udalali imekushinda viwanja,nyumba na mashamba wanuuzi siku hizi hawapendi mtu wa kati (dalali) bora ukuu wa wilaya una uhakika wa makazi bora,usafiri wa uhakika sio kile kivitz chako kinakaribia kufa engine kwa uchakavu & overloading due to your body overweight haaa haaa.

Sio kwamba umepoteza mvuto wa kisiasa kutokana na matendo yako unayoyafanya kwenye uso wa jamii
 
- Reasoning za Diamond na Ali Kiba on what aibu hata kusema, mtu na akili zako timamu unaweza kusema Diamond ana mshindani Tanzania nani huyo? hebu tuliza kelele wewe

Le Mutuz
Unaona jinsi ulivyo na akili za kitoto,hivi kwani Diamond kazaliwa akiwa star?Si kaanzia mbali?hivyo kwa nini ushangae na wasanii wengine wanavyopanda kimusic?kwa hiyo kwa akili yako Diamond ataendelea kuwa star maisha yake yote?Wapi Mr Nice?Ray C na wengine kibao
 
Haaa haaa ulikuwa unaendesha malori ukipata fedha unaandaa parties mwisho wa siku ukarudi bongo na jeans ukitegemea Baba yako atakuwa Rais Mzee Kifimbo hakamzuia ikabidi uingie mwenyewe front ukagombea ubunge wa EA ukashindwa kujieleza ukaangukia pua,ukasubiri fadhila za JK akakutosa siku hizi unakimbizana na udalali wa kuuza viwanja,nyumba za urithi.......

Najua unanyemelea jimbo la Mtera kule yupo mropokaji sijui kama utafurukuta jamaa kajichimbia sana yaani kila kitu kinaelekea kwenda kombo.

- hahahaha ni kweli nilikuwa naendesha malori kulipia Shule ndio maana nikapata Degree 3 na sasa ninazitumia hapa ofisini kwangu bongo, unasema kuendesha malori kujisomesha Degree ni dhambi? really? hahahahahaha

Le Mutuz
 
Haikuwepo kwenye nominees kwa sababu haikuchagulia,maana hizi tuzo ni watu wamechagua mwanzo mwisho,hoja zako za Diamond kujaza watu hazina mashiko,Na subiri Kilimanjaro ndo utaongea mpaka basi ,Maana kama unampenda Diamond nilitegemea uhimize watu wapige kura,ila ndo unalalamika tu.Baadae matokeo yakitoka unaanza kulalamika tena,pole sana

- Diamond hana mpinzani Tanzania na kazi zake haizwezi kuhukumiwa kwa kura, sio kosa la Diamond kwamba ana kipaji kinachowaacha wenziwe maili 20 nyuma, Ali Kiba bado hawezi kupiga Show ya Shillingi Millioni 3 Meza moja na zikaisha please, Diamond haiwezekani ahangaike kutafuta kura kipaji chake kinatakiwa kuhukumiwa kwa matokeo ya kazi zake pole sana ila huna hoja na hujui unachotetea zaidi ya Yanga na Simba ambayo sio nia na madhumuni yangu hapa!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom