Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Typically u!usitegemee kila siku kuona au kusikia unachopenda.

- No way ninaongea facts kuhusu Process, Nyerere alikuchagulia Rais na mpaka leo unachaguliwa na Rais na waliomfuata kama huamini subiri Rais anayekuja atachaguliwa na nani kwanza tumia akili kidogo, wakianza huu uhuni sasa wanaharibu Process mbele ya safari Msanii atatakiwa kuhonga rushwa ili ashinde kura za kazi yake mwenyewe!!

Le Mutuz
 
Ndo mana nakwambia inategemea waandaaji wanatumia kategori gani kumpa ushindi muhusika, vinginevyo weka ushahidi washiriki walipewa vigezo vya ushindi vilivyoshindaniwa.

- Level ya Diamond bongo sasa hivi ni sawa na level ya Michael Jackson US alipokuwa hai, haikutokea hata mara moja kukawa na Tuzo za Muziki akakosa, hata BET waliokuwa hawampendi sana kwa sababu ya dharau zake bado walikuwa wanampa heshima yake, ninaktaa tabia ya kumtaka Msanii alalel macho Studio halafu aanza kuhangaika na Wahesabu kura it is wrong!!

Le Mutuz
 
Hivi mbona unahangaika sana tangu wakutose kwene ukuu wa wilaya unaonekana una mhemko wa akili.
Ngongo Big zero aanzishe BASATA YAKE hukuo Chadulu Makori
 
Last edited by a moderator:
Dili lenu la kuuza mabinti kwa waroho wa ngono na kujinyakulia vibinti limeharibika mnapiga kelele sasa
 
- Kwani BASATA huwa wanachaguliwa na nani hasa?

Le Mutuz

Mkuu kwa taarifa yako, Basata hawajafungia mashindano ya miss Tanzania, bali wameifungia kampuni ya RINO AGENCY, kuandaa, hayo mashindano, ila kama kuna kampuni nyingine inayotaka kuyaandaa, ifuate utaratibu tu, Hayo ni maneno ya Katibu mtendaji wa BASATA, juzi alikuwa anahojiwa.
 
- Wewe simama hapa ujibu mapigo wacha kuwa pwanya Road huwezi kusimama mwenyewe, sema hoja kama unayo!!, wewe umenisikia mimi namuita mtu simama hapa kama kweli una hoja!!

Le Mutuz

Mkuu mi hoja yangu ni kama hivi sitaki porojo
 
Attachments

  • Screenshot_2015-05-26-16-24-32.png
    13.4 KB · Views: 72
- Kwani BASATA huwa wanachaguliwa na nani hasa?

Le Mutuz

Mkuu kwa taarifa yako, Basata hawajafungia mashindano ya miss Tanzania, bali wameifungia kampuni ya RINO AGENCY, kuandaa, hayo mashindano, ila kama kuna kampuni nyingine inayotaka kuyaandaa, ifuate utaratibu tu, Hayo ni maneno ya Katibu mtendaji wa BASATA, juzi alikuwa anahojiwa.
 
"ukiona nimeaznisha thread ujue nina facts and evidence!! hahaha huwa sikurupuki!!"

Le Mutuz

Mkuu, hebu tuwekee basi 'facts' za jinsi mchakato ulivyovurugwa na 'evidence' ya mtiririko wa kura katika vipengele mbalimbali kama kile kilichowakutanisha Diamond na Alikiba.

Huko kwengine kwenye kuzodoana mimi simo mkuu.
 
nashukuru kwa ufafanuzi wa imran K kuhusu Jamii Forums.Maana kwa kweli hakuna forum ambayo inaweza kuikuta hii kitu kwa sasa.
 
Ana fact zozote atakuambia diamond kawazidi wasanii wote maili 20 fact apo maamuzi yameamuliwa Kwa kura mshindi amepatikana duniani kote kura ndo maamuzi ya mwisho sio maneno maneno
 
Hapa ndo mnapochanganya mambo sasa, ndg yangu msilalamikeee, kigezo cha TUZO ZA WATU kilikuwa kupendwa, hayo mengine ni yako
kumbe kigezo ni kupendwa,sio muziki,hapo nimeelewa,nilitaka kushangaa Daimond kuwa na mpinzani kimziki bongo??
 
- Hapana mimi nimeongea naye mwenyewe uso kwa uso sio alichosema na siamini amesema hivyo kwenye RAdio kama ni kweli basi ndio tatizo ninalolisema, hakuna popote Tanzania walipowahi kusema hivyo kwamba wanaifungia Lino, please wacha kupotosha!!

Le Mutuz
 
Mimi mwenyewe namkubali Diamond kuliko Kiba, ila ninachoongelea hapa kuna uwezekano mkubwa Diamond alipata kura pungufu ya Ali Kiba, labda sasa wewe ulitaka atangazwe mshindi ivo ivo.
 
Mkuu, hebu tuwekee basi 'facts' za jinsi mchakato ulivyovurugwa na 'evidence' ya mtiririko wa kura katika vipengele mbalimbali kama kile kilichowakutanisha Diamond na Alikiba.

Huko kwengine kwenye kuzodoana mimi simo mkuu.

- Mchakato hauwezi kuwa sawa Diamond ameshinda Tuzo 3 za Afrika, amekuwa nimonated BET USA leo akashindwe na Msanii aliyekuwa ameacha kabisa muziki na ambaye amepiga Miziki 2 na hajapata Tuzo yoyote ya Afrika wala kuitwa BET USA unasema unataka Evidence zaidi ya hizo? hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
nashukuru kwa ufafanuzi wa imran K kuhusu Jamii Forums.Maana kwa kweli hakuna forum ambayo inaweza kuikuta hii kitu kwa sasa.

- Jamiiforums hawakuwa nominated sasa kama hauko nominated hauwezi kuwa na anything na mashindano so upo huru kuwa mdhamini na ndicho waliochokifanya Jamiiforums lakini walitakiwa kuwa ndio washindi tena bila hata kura!!

Le Mutuz
 
Wewe upo dunia ya ngapi? Hiyo ilikuwa last year, kwa taarifa yako mwaka huu Diamond hajawa nominated BET.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…