BASATA haina faida ni genge la upigaji tu!

BASATA haina faida ni genge la upigaji tu!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,663
Reaction score
15,225
Kazi ya Basata ni kupiga faini tu. Haijajenga chuo chochote cha sananaa kwa mfano pesa zao hazijulikani zinaenda wapi. Wanaweza waka amka leo ni kutafuta milioni 30 kwa kupiga faini wasanii. Itafika wakati wasanii wa kike hata kuvaa suruali itakuwa faini!

Lakini kibaya wenzao wanao shindana nao masoko ya nje hawana Basata wanashindana na wenzao ambao hawana Basata. Kama mnataka kutoa video basi wafanye block kwa Tanzania pekee usanii ni ubunifu . Marekani wangekuwa na Basata leo wasingekuwa wanaongoza kwa sanaa Duniani kama sasa.
 
Back
Top Bottom