Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Mimi mwenyewe namkubali Diamond kuliko Kiba, ila ninachoongelea hapa kuna uwezekano mkubwa Diamond alipata kura pungufu ya Ali Kiba, labda sasa wewe ulitaka atangazwe mshindi ivo ivo.
Ndo hapo sasa, yaani le mutuz kashupalia kweli, huyo Diamond kama mkali why mwaka huu hajawa nominated BET?
 
Yaani le mutuz unaongelea mambo yaliyopita, tunaangalia present time, ki ukweli kiba pia anafanya vizuri tu,yamoto band ndo usiseme
 
Wewe upo dunia ya ngapi? Hiyo ilikuwa last year, kwa taarifa yako mwaka huu Diamond hajawa nominated BET.

- Ok so unasema kwamba aliyeshinda Mwaka jana Tuzo 3 za Afrika halafu akaitwa BET akaitwa ku perfome Nigeria kwenye Show kubwa sana Afrika, anatakiwa kushindana na aliyeacha muziki aakamua kurudi bila kuwa Tuzo wala kuitwa nje ya nchi unasema hiyo process iko sawa?

Le Mutuz
 
Yaani le mutuz unaongelea mambo yaliyopita, tunaangalia present time, ki ukweli kiba pia anafanya vizuri tu,yamoto band ndo usiseme

- Ok lets talk of now nani Tanzania anaweza kufanya Show kama ya ile ya Mliman City kiingilio kikawa Meza Shillingi Mi;llioni tatu?

Le Mutuz
 
- Ok lets talk of now nani Tanzania anaweza kufanya Show kama ya ile ya Mliman City kiingilio kikawa Meza Shillingi Mi;llioni tatu?Le Mutuz
Kama kigezo cha tuzo kingekua ni upande wa kiingilio, jibu lingekua ni Diamond, lakini kama kigezo ni aliyepata kura nyingi, jibu ni Ally Kiba, Mbona hapa hutakiwi kua na degree mkuu!Kila shindano lina vigezo vyake, mfano Big Brother, hawaangalii idadi ya kura, bali wanaangalia idadi ya nchi zilizopiga kura.Kama nchi moja mfano naijeria ikapiga kura mil 300 kwa mtu wao, hawatashinda iwapo kuna mtu amepigiwa kura na nchi tofauti 5 ambao idadi ya kura ni 200mil.
 
- Mkuu ninasema the process si wrong na siamini kwamba Kiba alipata kura nyingi anyways ninasema hii process ya kura ni nonsense kwa watu wenye akili kwa sababu Diamond hawezi kuwa namba moja kwa muziki kila mahali lakini akashindwa kura na kuwa sio that is the killing of the Talent na infact it is a useless process!!

le Mutuz
 
- Kumbe unakuja hapa kwa vile huna cha kufanya? hahahahahahahahahhahaha

Le Mutuz

shida ni pale wewe na kukomaa na huo Diamond wako. everythings stands on opinion. leo hii kushindwa uanze kulalamika its not fair. Hebu soma au nadhani unaweza kujua sababu ya Socrates kukataa kutoroka akimbie kifo aliposhauliwa na Plato. If you accept system today kesho pia hata kama mambo yako hayaendi you have to accept.
 
Na nyie moderators wa Jf Mbona mnalala usingizi?Hii Thread ya huyu mwanababa inafanya nini siasani ipelekeni kule celebrity au entertainment.
cc Moderator Invisible
 
Last edited by a moderator:
- Mkuu ninasema the process si wrong na siamini kwamba Kiba alipata kura nyingi anyways ninasema hii process ya kura ni nonsense kwa watu wenye akili kwa sababu Diamond hawezi kuwa namba moja kwa muziki kila mahali lakini akashindwa kura na kuwa sio that is the killing of the Talent na infact it is a useless process!!le Mutuz
Kumbe swala ni wewe tu huamini?! Facts & evidence zako ziko wapi sasa kwamba alipata kura chache na akashinda? Kumbuka kulikua na team kwenye mitandao. Wewe unahisi tu ka mtu mwingine anavyoweza hisi kuwa waandaaji walitaka diamond awahonge. Nilitegemea kwenye huu uzi ungeweka ushahidi badala ya mawazo yako binafsi to ya kuhisi. Isitoshe hayo mambo mbona yanatendeka kwenye nyanja zote na hujawahi kukemea? Una maslahi gani kwenye hili tu?!
 
Hizo zote ni facts na wala sio evidence.

Unajua evidence wewe?

Nilitaraji ungeleta ushahidi wa kura alizopata Diamond vis-à-vis kura za kiba. au jinsi mchakato mzima ulivyochakachuliwa.

lakini unaleta blah blah tu.

Leta EVIDENCE
 
- Well, huhitaji evidence unahitaji commonsense kwanza haiwezekani Msanii mmoja akazunguka Dunia nzima akifanya kazi na kulitangaza Taifa letu halafu mwingine amelala tu ila anajua how to play na kura ndiye anaishia kumshinda mfanyakazi pole sana ndio maana hili taifa haliwezi kwendaa mbele ila kuna watu kama mimi tutabadilisha tu huu mfumo, Msanii mwenye kipaji kikubwa ndiye anayetakiwa kushinda sio asiyekuwa kwa sababu za kijinga jinga kama zako!!

Le Mutuz
 
shida ni pale wewe na kukomaa na huo Diamond wako. everythings stands on opinion. leo hii kushindwa uanze kulalamika its not fair. Hebu soma au nadhani unaweza kujua sababu ya Socrates kukataa kutoroka akimbie kifo aliposhauliwa na Plato. If you accept system today kesho pia hata kama mambo yako hayaendi you have to accept.

- Nilianza kuamini una point mpaka niliposoma hii red maana ndipo hasa hoja yako ilipo namuomba Mungu anisaidie maana nilishapita kufikiri kwa namna hiyo maana ni kurudi kinyume nyume kwamba kwa sababu ilifanyika mwaka jana lazima iendelee sio progressive mkiuu pole sana!!

Le Mutuz
 
- Ok so unasema kwamba aliyeshinda Mwaka jana Tuzo 3 za Afrika halafu akaitwa BET akaitwa ku perfome Nigeria kwenye Show kubwa sana Afrika, anatakiwa kushindana na aliyeacha muziki aakamua kurudi bila kuwa Tuzo wala kuitwa nje ya nchi unasema hiyo process iko sawa?

Le Mutuz

Nadhani huujui vizuri mziki wa bongo flava na mashabiki wake, Nikwambie tu siyo wote tunaompenda na kumkubali Allikiba basi ndo useme wote tunamchukia Diamond, HAPANA.

Nataka tu nikwambie kitu Allikiba ni moto mbaya sana ule, ogopa mtu mkimya na mpole mpole siku zote huwa wana nguvu hatari, sote tumeona baada ya maneno mengi na majungu kutoka kwa TeamDiamond kuwa sijui kafulia mara nini, Kiba hakusikika popote akiwajibu bali jamaa aliamua tu kwenda studio na kuwajibu kwa track ya "Mwana" ambayo mpaka leo upande wa pili kama mmepanic fulani hivi tena na baada ya kumaliza kabisa na hii ngoma mpya ya "Cheketua" basi ndo kabisa povu linawatoka.

Justly imagine kiba yupo nominated katika category 7 za KTMA just kwa wimbo mmoja wa mwana, huku Diamond akiwa nominated katika Category 2 tu tena zote kabananishwa kwenye kona na KingKiba, walahi mwaka huu mtamu sana.

Pia June KingKiba atachia kitu kipya cha sebene alichofanya na Christian Bella, Eeh hapana chezea dunia itakwenda kusimama siku hiyo.
 
Na nyie moderators wa Jf Mbona mnalala usingizi?Hii Thread ya huyu mwanababa inafanya nini siasani ipelekeni kule celebrity au entertainment.
cc Moderator Invisible

- hahahaha unasema BASATA chombo cha Serikali inatakiwa isiwe hapa iwe wapi sasa? Kama huna hoja kaa pembeni tu tuachie tunaoweza!!, sasa unalilia mods? hahahaha

Le Mutuz
 
- No way ninaongea facts kuhusu Process, Nyerere alikuchagulia Rais na mpaka leo unachaguliwa na Rais na waliomfuata kama huamini subiri Rais anayekuja atachaguliwa na nani kwanza tumia akili kidogo, wakianza huu uhuni sasa wanaharibu Process mbele ya safari Msanii atatakiwa kuhonga rushwa ili ashinde kura za kazi yake mwenyewe!!

Le Mutuz
Hapo sijakuelewa nn haswa una maana gani,ila bado naendelea kushangaa tu ili suala unavyolitolea povu
 
Nadhani huujui vizuri mziki wa bongo flava na mashabiki wake, Nikwambie tu siyo wote tunaompenda na kumkubali Allikiba basi ndo useme wote tunamchukia Diamond, HAPANA.

Nataka tu nikwambie kitu Allikiba ni moto mbaya sana ule, ogopa mtu mkimya na mpole mpole siku zote huwa wana nguvu hatari, sote tumeona baada ya maneno mengi na majungu kutoka kwa TeamDiamond kuwa sijui kafulia mara nini, Kiba hakusikika popote akiwajibu bali jamaa aliamua tu kwenda studio na kuwajibu kwa track ya "Mwana" ambayo mpaka leo upande wa pili kama mmepanic fulani hivi tena na baada ya kumaliza kabisa na hii ngoma mpya ya "Cheketua" basi ndo kabisa povu linawatoka.

Justly imagine kiba yupo nominated katika category 7 za KTMA just kwa wimbo mmoja wa mwana, huku Diamond akiwa nominated katika Category 2 tu tena zote kabananishwa kwenye kona na KingKiba, walahi mwaka huu mtamu sana.

Pia June KingKiba atachia kitu kipya cha sebene alichofanya na Christian Bella, Eeh hapana chezea dunia itakwenda kusimama siku hiyo.

- Honestly unaongea kimtaaani zaidi mimi naongeleea process ni vitu viwili tofauti sana, haya yako ni mawazo ya kimtaani sana sio level ya process na the future of it!!

Le Mutuz
 
- Nilianza kuamini una point mpaka niliposoma hii red maana ndipo hasa hoja yako ilipo namuomba Mungu anisaidie maana nilishapita kufikiri kwa namna hiyo maana ni kurudi kinyume nyume kwamba kwa sababu ilifanyika mwaka jana lazima iendelee sio progressive mkiuu pole sana!!

Le Mutuz

tunaendelea mbele. una maoni ya kuboresha unayatoa. if you think the system is not correct today though yesterday was okey unasema pia. analyse kila kitu, otherwise it will remain as your opinion kama vile opinion yao wao kupeleka vitu walivyopeleka. hiyo ndio argument yangu Boss.
 
Back
Top Bottom