TAARIFA KWA UMMA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linapenda kuujulisha umma na wadau wa Sanaa kwamba Msanii Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize amefika BASATA leo tarehe 02/10/2026 na kutekeleza masharti aliyopewa kabla ya kuendelea na shughuli za Sanaa. Hata hivyo Msanii husika amepewa mwezi mmoja wa uangalizi.
Baraza la Sanaa la Taifa halitasita kuchukua hatua dhidi yake endapo hatatekeleza masharti aliyopewa.
Baraza linatoa wito kwa Wasanii kuendelea kuzingatia Sheria, Kanuni, Miongozo na maadili yanayosimamia shughuli za Sanaa nchini katika uzalishaji na usambazaji wa kazi za Sanaa.
Soma pia BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini