Michezo gani tena boss??Au hiyo wanayoita Game??Kamchezo michezo ya kwenye kompyuta kwa English kanaitwaje mkuu
Ipi hiyo mkuu ni game au war game??Kamchezo michezo ya kwenye kompyuta kwa English kanaitwaje mkuu
buree kabisaAaa wapi nyie kelele tu hapa. Utafikiri mna impact kumbe hakuna lolote. 2020 Magufuli hata asipopiga kampeni ameishashinda kwa 70% hadisasa...
takoHivi Bashite huwa anampa nini mkulu?
Nasikia ikulu isiyo na hadhi
Nasikia ikulu isiyo na hadhi
Hii hutajibiwa wala haitajadiliwa popote .Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.
Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.
Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Kitu gani sasa?Huyu jamaa kuna kitu siyo bure. Muhongo katumbuliwa, nape pia!! Huyu ana nini
Michezo gani tena boss??Au hiyo wanayoita Game??
Duh! Hivi Gwajima yupo?Alishasema kwa Kinywa chake mwenyewe, hamjui DAB. Yeye ni mtoto wa Christian Manenepa! Siyo wa Albert Malyiyagili Bashite.
Hangaikeni kutafuta pesa kukomboa familia zenu,huyo Bashite anaekupotezeeni muda yeye anaendelea na maisha kama kawaida,aliyewaaminusha kwa faida binafsi Mr Gwajima nae anaendelea na maisha kama kawaidaHuu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.
Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.
Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Hangaikeni kutafuta pesa kukomboa familia zenu,huyo Bashite anaekupotezeeni muda yeye anaendelea na maisha kama kawaida,aliyewaaminusha kwa faida binafsi Mr Gwajima nae anaendelea na maisha kama kawaida
Sawa. Je ukitumia majina ya mtwengine kujipatia hiyo ajira?Hata ingelikuwa ni nani lakini twajua kuwa, huyu ndiye aliye wahalalishia utulivu wa moyo, Wabunge kama Kibajaji na wenzake kina Shoza pamoja na wateule wote wa rais kuwa hawana haja ya kwenda nunua ubin huko na huko ili kuhalalisha vyeti.
Unachotakiwa ni ushindi wa udahili (Interview) kama utaweza kusoma maneno mawili tu ya kiswahili nayo ni, " Ka' "Ta". Ukiweza kuyasoma hayo maneno mawili tu, wewe unastahili ofisi ya Mkoa, Wilaya na Ubunge hadi Uwaziri. Haya, swali jingine???
Hayo siyo maneno mkuu. Mkulu kakuingiza chaka.Unachotakiwa ni ushindi wa udahili (Interview) kama utaweza kusoma maneno mawili tu ya kiswahili nayo ni, " Ka ' " Ta ".