Serikali itoe tamko rasmi: Daudi Albert Bashite ni nani?

Were tafuta mada nyingine mambo ya bsshite yashapitwa na wakati,sasa tuko kwenye bajeti,kuona kama ina faa au haifai.
 
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.

Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.

Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Mkuu hatufukui makaburi Hahaha
 
Kwani jina hilo limeletwa na serikali?
 
Ata mm nashangaa kuhusu uyu DAB bt I ril trust dady ngosha that atakua na gud rizonz tu kip Bashite in that position! Ofcoz tunaweza kuongea mengi bt we neva know jmn.....serikalin kuna siri nyingand blv it or not bt tc obviously maadui wa bashite ndo walewale wa mkulu......ngoja nikaoge nilale
 
Bashite tunamsubiri baba yako asiyeshindwa kamwe 2020 kabla hajapiga push ups lazima aseme bashite ni nani
 
Aaa wapi nyie kelele tu hapa. Utafikiri mna impact kumbe hakuna lolote. 2020 Magufuli hata asipopiga kampeni ameishashinda kwa 70% hadisasa...
 
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.

Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.

Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Mkuu sasa huo ni uchokozi umesahau Mr. Longolongo alikesha kukagua CV za wateule wake sasa unatafuta nini tena? Na nina wasiwasi na Bashite huenda keshanyofoa cheti cha kuzaliwa kule kwa msajiri wa vizazi na vifo
 
Na hii itasaidiaje Kuwa na Tanzania ya viwanda tena inayojitegemea kiuchumi na kijamii?
 
Aaa wapi nyie kelele tu hapa. Utafikiri mna impact kumbe hakuna lolote. 2020 Magufuli hata asipopiga kampeni ameishashinda kwa 70% hadisasa...
We pepesa domo kama bashite hutaamini hiyo 2020. Kumbuka wale engineers wa wizi wa kura washaanza kutoa siri
 
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.

Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.

Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Fonte Forti
 
Kwema mkuu naoan umeimiss picha ya Marehemu Luteni Rajabu Ahmed Mlima mkuu toa hilo la wapi hilo profile daah kama South Sudan hahahaha
Acha mkuu ile picha nimeitoa sababu inanikumbusha mengi sana wale M 23 ***** zao wale
 
Back
Top Bottom