Serikali itoe tamko rasmi: Daudi Albert Bashite ni nani?

Mmeanza tena kutafta kicks! Aliyetaja bashite ni serikali? Nenda kamwambie yule wa mtu wenu alowageuza misukule kila kitu mnaitikia ameen ndo atoe tamko
 
Kuna kitabu kinaitwa "SON OF A WOMAN" mwandishi wake ni kutoka Kenya.Mimi nimekisoma...jee weye..???
 
Mh paul Makonda aka Bashite anastahili KABISA kuwa msaidizi wa karibu kabisa wa RAIS wanarandana na mkuu kwani ni mchapakazi,jasiri,mzee wa kuthubutu kuchukua hatua kwa yale yanayo washinda wengine..UWAZIRI MKUU UNAMFAA NCHI INYOOKE
 
ILE KESI YA MEYA JACOBB KWENYE TUME YA MAADILI IMEFIKIA WAPI KWANI?
 
Mnapoteza muda tu kumjadili huyu mtu,piga kazi hizi game ziko tu,leo utamjadili bashite keshe atatokea Mashite,kesho kutwa Kashite mtondogo Dashite,Bishite atakuja Bushiti hadi vishite na lishite mwisho wafwa na watoto wanabaki wanaendelea na vishite wanadiscuss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amini amini nakuambia, vita ya vyeti feki haijawahi kumuacha Bashite salama
 
Ila maraisi walopita wameacha vyeti feki na kulipa watu hewa.Magu kajitahidi kiasi chake

Positivity
 
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.

Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.

Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Bahati mbaya serikali haina kitengo cha kutolea majibu ya kichaa yeyote anayosema labda hospitali ya mirembe.usifikiri rais anapofanya uteuzi wowote anatoka usingizini.kabla ya uteuzi hufanyika vetting
 
Mkuu hospitali ya Mirembe ni ya Serikali kama hujui, kama huko ndiko majibu ya serikali yatatoka, yatoke huko sasa. Mtu anakana baba yake mzazi kwenye media halafu unasema majibu yatoke hospitali ya vichaa?? Kwani Bashite ni kichaa kalazwa mirembe?
 
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.

Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.

Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Tafuta ugali wawatoto wako k wewe,maisha yawatu yatakusaidia nini labda?ushaambiwabhapangiwi sasa wewe unacho kitaka nikipi?
 
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.

Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.

Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Mkuu Kadhi embu tujadili hoja kwa hoja,je tunauhakika Gwajima anasema kweli? Kama ni kweli tunaye Paul Christian aliyeuza cheti?Kama yupo aliuza bei gani considering kuwa alikuwa anamuuzia kijana masikini kabisa,maana sheria ya rushwa ni kutoa au kupokea yote ni makosa.
Tafadhali,simtetei mtu ila tujadili hapo,bila kusahau sababu za shahidi mkuu Gwajima kukaa na hii taarifa miaka yote bila kuiweka hadharani mpaka alipotajwa kuhusika na ngada.Hali akijua kuwa kuna kosa limetendeka mahali.
 
Back
Top Bottom