Serikali itoe tamko rasmi: Daudi Albert Bashite ni nani?

Tafuta ugali wawatoto wako k wewe,maisha yawatu yatakusaidia nini labda?ushaambiwabhapangiwi sasa wewe unacho kitaka nikipi?
Sawa, naona moyo wako unafurahia kutukana. Ila unayemtukana humjui, Ugali natafuta ndo maana nipo JF humu bila net huingii hapa tunalipia. Sasa kulipia kutukana mtu usiyemjua utajuta.
 
Mkuu Kadhi embu tujadili hoja kwa hoja,je tunauhakika Gwajima anasema kweli? Kama ni kweli tunaye Paul Christian aliyeuza cheti?Kama yupo aliuza bei gani considering kuwa alikuwa anamuuzia kijana masikini kabisa,maana sheria ya rushwa ni kutoa au kupokea yote ni makosa.
Tafadhali,simtetei mtu ila tujadili hapo,bila kusahau sababu za shahidi mkuu Gwajima kukaa na hii taarifa miaka yote bila kuiweka hadharani mpaka alipotajwa kuhusika na ngada.Hali akijua kuwa kuna kosa limetendeka mahali.
Gwajima na DAB wanatoka kijiji kimoja Kolomije. Paul Ch. hakuuza cheti bali mpenzi wa DAB aliiba cheti cha C P Maranja, suala la vyeti feki hakulianzisha Gwajima kalianzisha Mh. Rais Magufuli. Gwajima kamsaidia kutaja wenye vyeti feki akiwemo mteule wake.
 
Kwa hiyo kadhi hayo yote umesikia tu kwa Gwajima,na wala hupajui kolomije wala Paul na Daudi hujawahi kuwaona,na hata mahusiano na migongano yao huijui. Dah basi sawa subiri atajibu mkuu wa kaya.
 
Back
Top Bottom