Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Kun kitu atakua anampa Mkulu.
Wema ni mwanamke na Mbowe ni mwanaume. Lakini hawa wengine ni wote wawili ni wanaume!!Tuanze na wema ,swali lililozagaa "Wema anampa nini Mbowe ambacho make wake hana?
DAUD ALBERT BASHITE NI NANI JIBU NI DAUD ALBERT BASHITEHuu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite.
Naomba kama kweli kutoka Kolomije s/msingi ni Daudi bashite, Pamba secondary ni Daudi Bashite (zero kama anavyosema Gwajima na mjue Gwajima yuko youtube live na dunia yote mwenye internet anamwona na kumsikia). Ni aibu kwa nchi kutangazwa vibaya kwa mteule wa rais.
Toeni tamko kama gwajima, kolomije na Pamba Sec ni waongo au wakweli ila rais aamue kulingana na madaraka yake kuhusu DAB.
Ramadhani Kareem.
Daud Albert Bashite ni mtoto wa John pombe Joseph Magufuli
GwengaaaaMmh wacha we
Aluta continuaaaChapter closed
Aluta continuaaa
Gwengaaaa
Gwengaaaa
Kun kitu atakua anampa Mkulu.
Kun kitu atakua anampa Mkulu.
Ha ha ha ha aaaaaaaa mkuu labda ufe uzaliwe upya waweza ukwaa U - IGP,Not to that extent, i wish could be IGP ningekusweka ndani Melkiorysaranga
Akiwa kama RC anamshauri vizuri ndio maana Mkulu anapenda Think tank yake