VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Katika hafla ya kuwaapisha Mawaziri, Mabalozi na Katibu Mkuu mteule Ikulu Dar es Salaam, Rais Magufuli hakumtambua wala kumtaja Ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda ambaye naye alikuwepo ukumbini.
Rais aliwatambua viongozi mbalimbali waandamizi waliokuwa Ukumbini (wakati huo Ndugu DAB alikuwa akijiweka vizuri akitarajia kutambuliwa au angalau kutajwa), lakini hakutambua uwepo wa Ndugu Daudi Albert Bashite wala kumtaja.
Hongera Mhe. Rais kwa kuanza kujitenga na Ndugu Daudi Albert Bashite. Umeanza kuona kwa namna wananchi wako wanavyoona.
Bastola ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam