We fala niniWivu wa kike huo. Wezi wa mitihani kutoka wapi? Mbona hawajawahi kufungiwa kwa wizi? Acha kutetea upumbavu kwa sababu za kipumbavu.
Hizo shule teule ni chache mpendwa! Ukisema utumie vigezo unavyovisema wewe maanake kwanza hazitatosha kwa hiyo uwiano ni mhimu ili kila upande upate! Kinachofanyika shule za private zina nafasi zao za kwenda huko hivyo hivyo na shule za umma zina idadi yao! Kutokana shule za private ni wengi wanafaulu ndo maan wanagawana wawili wawili mkuu! Shule za umma wanaofaulu kwa ufaulu wa juu ni wachache ndo maana wale wanaofaulu kwa kiwango hata cha B wanabahatika maana nafasi zao wengi hawafaulu kwaviwango vya juu!!Hesabu bila kufuata ufaulu? Kwa hizi hizi shule teule zinagwa nafasi za masomo kwa uwiano?
Sasa hapa umeandika utopolo gani? Hebu tuliza akili kwanza uje na hoja yenye mashiko. Kama unatetea huu ujinga kwanini wasitunge mitihani ya aina mbili:Umeandika upumbavu mtupu. Serikali iko sahihi 100% kufanya hivyo. Tena wamechelewa mno kuanza huo utaratibu. Kama ulisomesha mtoto private peleka mtoto private. Acha hao watoto wa St Kayumba waliofanya vizuri na wao wakasome shule bora zinazoitwa teule. Ila ninaisihi sana serikali kuendelea kupambana kuboresha shule za serikali. Anayesoma Kigogo Sec awe na mazingira mazuri kama wa Tanga tech au Ilboru sec.
Usidanganyike Darasa la 7 Hakunaga kufaulu ni Uchaguzi tuKwa hiyo kumbe selection haifuati ufaulu bali inafuata uwiano kama vile Tanganyika inavyowiana na Zanzibar? Hii kali aisee!
Hebu tufafanulie kidogo mkuu huenda unakuwemo kwenye selection board. Huwa mnachagua kwa kutumia muongozo kutoka juu bila kuzingatia ufaulu?
Weka hizo hesabu..!! huwezi taja hesabu halafu huiweki, inakuwa porojo tu..!!Mambo usiyoyajua mkuu usikimbilie kuja kuilaumu serikali, kilichofanyika hapo ni hesabu ya hali ya juu! Wewe umeshindwa kungamua tu!! Kwa hili naipongeza serikali! Kilichofanyikq hapo mm nakijua ni utaratibu na hesabu ndizo zinazofanya hivyo mkuu wala sio ubaguzi!!
Tuipongeze kwa ubaguzi huu? Kwanza wao wanatungiwa mitihani kwa lugha ya Kiswahili ambayo ni nyepesi ukilinganisha na wale wa shule za private wanaotungiwa mitihani kwa lugha ya Kingereza (lugha ngumu). Sasa iweje wabaguliwe kwa kuwekewa idadi sawa ya nafasi bila kufuata ufaulu? Huu ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami unaofanywa na serikali ya mchongo ya CCM.Hizo shule teule ni chache mpendwa! Ukisema utumie vigezo unavyovisema wewe maanake kwanza hazitatosha kwa hiyo uwiano ni mhimu ili kila upande upate! Kinachofanyika shule za private zina nafasi zao za kwenda huko hivyo hivyo na shule za umma zina idadi yao! Kutokana shule za private ni wengi wanafaulu ndo maan wanagawana wawili wawili mkuu! Shule za umma wanaofaulu kwa ufaulu wa juu ni wachache ndo maana wale wanaofaulu kwa kiwango hata cha B wanabahatika maana nafasi zao wengi hawafaulu kwaviwango vya juu!!
Sio kila kitu kuilaumu serikali mambo mengine tunapaswa kuipongeza
Hayo matokeo yanaonesha ufaulu wa jumla.Kwa hiyo kumbe selection haifuati ufaulu bali inafuata uwiano kama vile Tanganyika inavyowiana na Zanzibar? Hii kali aisee!
Hebu tufafanulie kidogo mkuu huenda unakuwemo kwenye selection board. Huwa mnachagua kwa kutumia muongozo kutoka juu bila kuzingatia ufaulu?
Hivi umekielewa kilichoandikwa au umedandia tu..!!??Umeandika upumbavu mtupu. Serikali iko sahihi 100% kufanya hivyo. Tena wamechelewa mno kuanza huo utaratibu. Kama ulisomesha mtoto private peleka mtoto private. Acha hao watoto wa St Kayumba waliofanya vizuri na wao wakasome shule bora zinazoitwa teule. Ila ninaisihi sana serikali kuendelea kupambana kuboresha shule za serikali. Anayesoma Kigogo Sec awe na mazingira mazuri kama wa Tanga tech au Ilboru sec.
Mkuu acha uvivu....pitia hayo matokeo uone uovu wa serikali yako. Wanafunzi waliopata B wa shule za kata wameenda shule teule huku wanafunzi waliopata A wa shule binafsi wamepelekwa sjule ya kata Changanyikeni. Huu ni ujinga usiovumilika. Acha kutetea uhuni na upuuzi wa serikali ya CCM.Hayo matokeo yanaonesha ufaulu wa jumla.
Huwezi jua ni wanafunzi gani waliofaulu kuliko wote mfano waliopata A masomo yote,
Hao ndo wanaenda shule teule.
Achia mbali hizo grades za A, B etc, wanazo hadi hadi maksi..!! Mwenye A ya 90 anajulikana na mwenye A ya 99 anajulikanaHayo matokeo yanaonesha ufaulu wa jumla.
Huwezi jua ni wanafunzi gani waliofaulu kuliko wote mfano waliopata A masomo yote,
Hao ndo wanaenda shule teule.
Mweleweshe aelewe na kama haelewei muwekee matokeo mkuu. Unajua watu wengine ni wagumu sana kuelewa.Hivi umekielewa kilichoandikwa au umedandia tu..!!??
Nakutolea mfano, Philaldephia primary school ilipo Kongowe ya Mbagala ni PRIVATE, lakini wanafunzi wake karibu wote wenye wastani wa A, wamepelekwa Mwandege kutwa ya serikali..!!
Wananchi wapumbavu huongozwa na serikali ya kipumbavuKwa kweli hii serikali ina mambo ya kipumbavu sana. Sijui wanafikiri kwa kutumia kiungo gani (Masaburi).
Mweleweshe aelewe na kama haelewei muwekee matokeo mkuu. Unajua watu wengine ni wagumu sana kuelewa.