Picha, Vyoo vya Shule kule Chato, na bajeti ya Billion 500 V8 kila Mwaka

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,503
Hii nchi, bila kuja kuwatoa hawa CCM kwa nguvu hakuna kitakacho badilika, Hawa watawala wana dharau na viburi sana kwa raia.
Fikiria misafara yao ya V8 na angalua kinacho endelea kwa wananchi. na Makondo yuko busy kufanya hadaa jwa wapumbavu.

Wanafunzi 1500 katika Shule ya Msingi Ludeba iliyopo katika Kijiji cha Ludeba Kata ya Ipalamasa Halamashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita wanakabiliwa na Changamoto ya uwepo wa Vyoo vya Kisasa kwa wanafunzi pamoja na walimu katika Shule hiyo .

Akizungumzia Changamoto hiyo Daud William ambaye ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ludeba, amesema Shule hiyo inakabiliwa na Changamoto ya kutokuwepo hata kwa tundu moja la Choo ambapo Wanafunzi wamekuwa wakijisaidia katika Choo cha Nyasi pamoja na wanafunzi wa kike kuwa watoro kwa Asilimia kubwa.

“Baadhi ya Changamoto hizo ni upande wa Matundu ya Vyoo shule ya Msingi Ludeba ina Wanafunzi 1500 na haina hata tundu Moja la Choo watoto wa kike wanashindwa kupata huduma kwa urahisi kwa asilimia kubwa ni watoro na ukiangalia Mazingira waliyopo si Mazuri, “ Mwalimu Mkuu wa Shule ya Ludeba.

Aidha Mwalimu William amesema Shule hiyo ina Walimu 13 wanaokabiliwa na changamoto ya Nyumba za kuishi ambapo wamekuwa wakiishi Kilometa 5 kutoka Shule hiyo wanayofundisha huku akiiomba Serikali kunusuru Changamoto hiyo.

Changamoto hizo Zimeibuka Mara Baada ya Mkuu wa Wilaya ya Chato ,Mhandisi Deusdedith Katwale kufanya Ziara ya kutembelea Shule hiyo iliyoko katika kata Ipalamasa ambapo akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya Simu amesema tayari kuna fedha zimetengwa kwa ajili ya kwenda kunusuru Maisha ya wanafunzi hao.

#KitengeUpdates
FB_IMG_1707934119475.jpg
FB_IMG_1707934116908.jpg
 
#KitengeUpdatesView attachment 2904554View attachment 2904556
Who Cares, unakuta kuna CHAWA toka chato anapush agenda za watawala, anashinda mitandaoni kupinga wanaotaka katiba namaendeleo ya nchi.
 
Bunge wana taka ndege mpya ya viongozi.
 
Only

Only in Africa
 
Hao watoto hawana wazazi? Hao wananchi ndio wapuuzi na wazembe. Kuchimba choo ni kazi ya serikali? Uzae mtoto wako hata kwenda kuchimba shimo na kuchangia gharama za ujenzi mpaka serikali kuu? Shida wasukuma ni washamba wamezoea kujisaidia vichakani hawaoni umuhimu wa vyoo. Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Nzega kwenda Tabora. Basi lilikaa zaidi ya masaa mawili Nzega muda uliokuwa unatosha kwenda chooni na kufanya mambo mengine. Ila baada ya kuondoka na kufika kwenye pori flani hivi abiria walianza kupiga kelele kuwa wanataka kwenda chooni. Hao wamezoea kujisaidia porini ndio maana hawataki kujenga vyoo. Hiyo ni aibu ya jamii husika siyo serikali. Wajitolee nguvu zao na wachangie hata 1000 kila kaya uone km hivyo vyoo havitajengwa.

Mbona huku kwetu kijijini kila kaya huchangia zaidi ya elfu 40 kujenga madarasa? Sijawahi kusikia habari ya watoto kukaa chini. Kuna miti, kijiji hutoa miti, wananchi hujitolea nguvu zao na kuchangia pesa. Hizi jamii zingine wana nchi tofauti? Hovyo kabisa. Wale starehe na wake zao mpaka watoto wamezaliwa hata kujenga choo eti serikali? Ni aibu. Mleta mada acha siasa za majitaka, fanya siasa yenye akili.
 
Mbona huku kwetu kijijini kila kaya huchangia zaidi ya elfu 40 kujenga madarasa? Sijawahi kusikia habari ya watoto kukaa.WW NI WALE WALE KM HAO WA MJENGON WANAOWAZA PICHA YA RAIS KWENYE SH NA NDGE YA VIONGOZI.
 
Hao watoto hawana wazazi? Hao wananchi ndio wapuuzi na wazembe. Kuchimba choo ni kazi ya serikali? Uzae mtoto wako hata kwenda kuchimba shimo na kuchangia gharama za ujenzi mpaka serikali kuu? Shida wasukuma ni washamba wamezoea kujisaidia vichakani hawaoni umuhimu wa vyoo. Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Nzega kwenda Tabora. Basi lilikaa zaidi ya masaa mawili Nzega muda uliokuwa unatosha kwenda chooni na kufanya mambo mengine. Ila baada ya kuondoka na kufika kwenye pori flani hivi abiria walianza kupiga kelele kuwa wanataka kwenda chooni. Hao wamezoea kujisaidia porini ndio maana hawataki kujenga vyoo. Hiyo ni aibu ya jamii husika siyo serikali. Wajitolee nguvu zao na wachangie hata 1000 kila kaya uone km hivyo vyoo havitajengwa.

Mbona huku kwetu kijijini kila kaya huchangia zaidi ya elfu 40 kujenga madarasa? Sijawahi kusikia habari ya watoto kukaa chini. Kuna miti, kijiji hutoa miti, wananchi hujitolea nguvu zao na kuchangia pesa. Hizi jamii zingine wana nchi tofauti? Hovyo kabisa. Wale starehe na wake zao mpaka watoto wamezaliwa hata kujenga choo eti serikali? Ni aibu. Mleta mada acha siasa za majitaka, fanya siasa yenye akili.
Una point lakini upummbavu ulioufanya ni kuishambulia jamii husika bila sababu za msingi... Siku nyingine upunguze chuki za kikabila kumma wewe
 
Na Kodi kazi yake ni kununua V8 si ndio? ujinga ujinga. So kodi zitafunwe kwenye anasa then raia wachimbishwe mashimo. upumbavu huu
 
Una point lakini upummbavu ulioufanya ni kuishambulia jamii husika bila sababu za msingi... Siku nyingine upunguze chuki za kikabila kumma wewe
Ana point gani? Kodi zinaenda wapi? yaani Pesa zitafunwe then wananxhi wajenge vyoo kwa nguvu zao? nchi ina wapumbavu sana hii. Usha jiuliza mbona pesa za kununua V8 hazijawahi kuwa shida kwa serikali?
 
Hata wewe pia una point, lakini point yake imebeba zaidi uhalisia... Tunafahamu fika jinsi gani haya mataifa yetu ya kiafrika miradi mbali ya kimaendeleo inavyokwamishwa na rushwa, uongozi mbovu, uzembe n.k.. hivyo basi njia pekee ya wanainchi kuondokana na kero ndogo ndogo kama hizi za vyoo, maji n.k ni wao wenyewe kujiorganize na kutumia nguvu zao kuzitatu kero hizo, wakisema waisubilie serikali ya CCM watasubiri sana....

Alichonikera ni kuishambulia jamii ya wasukuma kwa maneno ya kashifa na dharau mse.nge huyu, zote tunakuja hizo tabia sio wote wako nazo na alikadharika pia hata kwenye jamii zingine wapo watu wenye hiyo kasumba .. asichokielewa huyo mjinga ni kwamba hiyo kasumba inatokana hasa na mazingira mtu aliyokulia na ni rahisi kuikuta kwa mtu yeyote aliyekulia kwenye mazingira dunia hasa ya vijijini.
 
Halafu kuna kampeni utasikia Nyumba ni Choo.

Hawa machawa wasanii ili kuonyesha mchango kwenye ujenzi wa Taifa, kwenye kila pato lao kuanzia show, nyimbo nk asilimia fulani ya hela itoke Kwa ajili ya ujenzi wa vyoo first class kwenye shule zetu zote za msingi.

Lakini pia, mawaziri na wabunge wakatwe posho na mishahara yao iende kujenga vyoo first class Kwa shule zote za sekondari Tanzania nzima pamoja computer labs Kwa shule zote za msingi na sekondari. WAONYESHE UZALENDO KWA VITENDO.
 
Hii nchi, bila kuja kuwatoa hawa CCM kwa nguvu hakuna kitakacho badilika, Hawa watawala wana dharau na viburi sana kwa raia.
Fikiria misafara yao ya V8 na angalua kinacho endelea kwa wananchi. na Makondo yuko busy kufanya hadaa jwa wapumbavu.

Wanafunzi 1500 katika Shule ya Msingi Ludeba iliyopo katika Kijiji cha Ludeba Kata ya Ipalamasa Halamashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita wanakabiliwa na Changamoto ya uwepo wa Vyoo vya Kisasa kwa wanafunzi pamoja na walimu katika Shule hiyo .

Akizungumzia Changamoto hiyo Daud William ambaye ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ludeba, amesema Shule hiyo inakabiliwa na Changamoto ya kutokuwepo hata kwa tundu moja la Choo ambapo Wanafunzi wamekuwa wakijisaidia katika Choo cha Nyasi pamoja na wanafunzi wa kike kuwa watoro kwa Asilimia kubwa.

“Baadhi ya Changamoto hizo ni upande wa Matundu ya Vyoo shule ya Msingi Ludeba ina Wanafunzi 1500 na haina hata tundu Moja la Choo watoto wa kike wanashindwa kupata huduma kwa urahisi kwa asilimia kubwa ni watoro na ukiangalia Mazingira waliyopo si Mazuri, “ Mwalimu Mkuu wa Shule ya Ludeba.

Aidha Mwalimu William amesema Shule hiyo ina Walimu 13 wanaokabiliwa na changamoto ya Nyumba za kuishi ambapo wamekuwa wakiishi Kilometa 5 kutoka Shule hiyo wanayofundisha huku akiiomba Serikali kunusuru Changamoto hiyo.

Changamoto hizo Zimeibuka Mara Baada ya Mkuu wa Wilaya ya Chato ,Mhandisi Deusdedith Katwale kufanya Ziara ya kutembelea Shule hiyo iliyoko katika kata Ipalamasa ambapo akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya Simu amesema tayari kuna fedha zimetengwa kwa ajili ya kwenda kunusuru Maisha ya wanafunzi hao.

#KitengeUpdatesView attachment 2904554View attachment 2904556
Jamaa alijenga Airport akasahu vyoo ....!!
 
Back
Top Bottom