Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Usiichukue Tanzania, mchukie Rais kwa kuwapeleka wanajeshi hili watapeli watu.
mkuu kuwa na akili kidogo.......Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Mkuu labda wewe Ni mgeni wa biashara lakini hakika ungelijua yanayoendelea huko mashambani usingeshangaa hili wafanyabiashara wanaonunua mazao asilimia 90 hawana leseni iyo kumi iliyobaki ndo wanaleseni tena Ni wale wakubwa ambao wengi husafirisha nje ya nchiBaba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Akikupa jibu la kueleweka niblock.Mkuu hivi nikinunua mchele kyela na kuuleta Dar nitaulizwa nimelima wapi?
Hivi mnatetea hata uozo huu ?!. Kama hana shamba si wamuachie korosho zake zimuozee au ajibangulie ?!. Haya mambo yamezoeleka sasa. Wavuvi wamefanywa hivi hivi.Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Unatoaje uamuzi ikiwa ni kweli huo ujinga umetunga weweHabari yenyewe inaonekana ya kutunga na ya uchochezi. Eti mstaafu kanionea huruma kanikopesha million 10? Nani anaweza kukukopesha million 10 bila dhamana! Acha uongo hii story yako ya uongo
Wapumbavu sana hawa yaani hela hawana sasa kilichobaki ni kufilisi watu na Korosho zaoMbona mahindi watu wanunua maelfu ya magunia na wanauza sehemu nyingine serikali haihoji? Kwani korosho ni haramu ? Aibu kubwa kwa Utawala huu wa kihuni na udikteta?
Huna akiliStory ya uongo na uchochezi. Eti mstaafu kanikopesha mil. 10???.
Ndugu mbona huu utaratibu zamani haukuwepo?wa kuulizwa shamba?Akikupa jibu la kueleweka niblock.
Rubish shwain mkubwa wewe
Kwani kuna sehemu amesema kuwa amekopeshwa bila dhamana??Habari yenyewe inaonekana ya kutunga na ya uchochezi. Eti mstaafu kanionea huruma kanikopesha million 10? Nani anaweza kukukopesha million 10 bila dhamana! Acha uongo hii story yako ya uongo
Habari yenyewe inaonekana ya kutunga na ya uchochezi. Eti mstaafu kanionea huruma kanikopesha million 10? Nani anaweza kukukopesha million 10 bila dhamana! Acha uongo hii story yako ya uongo
Pumbavu kabisa hujui inavyoumajapo sikubaliani na magufuli mambo kadhaa ila kwa hili niko nae.
vyama vya msingi vipo kwa ajili ya kukopesha pembejeo kwa wakulima, huku vikisubiri mkulima arejeshe korosho/tumbaku/kahawa ili wao wakate pembejeo zake na kumpa chake mkulima.
wewe ulipo enda wasaidia wakulima kwa malipo ya korosho ulikuwa unapunguza urejeshaji wa deni kwa chama maana mkulima angepeleka ama kushindwa kupeleka korosho hivyo kulaza deni na kuwagharimu wana kikundi kama si chama kizima.
alafu vyama vya msingi huuza kwa namba (mkulima anakuwa na namna ya uanachama baada ya kuhakiki shamba lake na uwezo wake wa kuzalisha)
wewe hukuna navyo, wewe ni kirusi katika ukuaji wa ushirika. sijaona kosa katika ilo.
alafu mambo ya kusema wakulima walikuwa na njaa sana siamini sana maana nafahamu vyama huwa vinawapa wakulima mikopo ya kuokoa mazao yao (inatumika pia kujikimu)
kama ambavyo sikubaliani na ww ndivyo ambavyo sikubaliani na magufuli kutaka wakulima walipwe moja kwa moja bila ya kukatwa madeni ya pembejeo ( mikopo mingine )
ivi kwani ukimkopa mkulima pesa lazima akulipe korosho kwa nini asikulipe pesa baada ya kuuza korosho zake.
ushauri wangu kwa wahanga kama wewe. fanya janja janja tafuta mkulima aliye kuuzia/mnaye elewana mpe izo korosho ye ataonesha shamba mtagawana iyo pesa.
Hizi njema hazina hela. Walijua misele ya Mzee wa Msoga ughaibuni ilikuwa kula bata kumbe jamaa anatafuta mtonyo watoto wasife njaa. Sasa huyu bwana hana kitu ana tafuta upenyo kwa yoyote yule amkamue hasa hawa anawaowaita wanyonge.Ndugu mbona huu utaratibu zamani haukuwepo?wa kuulizwa shamba?
Huu ni unyonyaji
Hata ww unapoenda dukani kununua mchele au sukari unaenda kwa shida zakoPole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.