Mkuu hivi nikinunua mchele kyela na kuuleta Dar nitaulizwa nimelima wapi?[/QU
huu ni mfano mfu
je mchele unauzwa katika vyama vya ushirika, je huu mchele wanachukua pembejeo katika vyama hivyo kutakiwa kukatwa
tangu lini ukakuta tumbaku, korosho, kahawa, pamba zikiuzwa kiboya kama mchele (ambao gharama za uzalishaji ni juu ya mkulima)
wewe ulikuwa unawatapeli wakulima, ulikuwa unakitapeli chama kilicho mpa mkulima pembejeoPumbavu kabisa hujui inavyouma
Ukisikia baadhi ya nchi zina waasi usidhani walipenda.kuna vitu tu vimewasukuma.......kikitokea kikundi kinataka kupindua hii serikali kupitia msitun hakika naungana nao.korosho zangu zinaniuma sana........Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Toka lini sheria zetu zinakaza mtu kuwa middle man. Kila zao ulinunualo sokoni hzlitetwi pale na mkulima bali ni mlanguzi aka mchhuzi au middle man. Kwa taarifa yako hata nyama ya kuku unakula mezani kwako kwa nzmna moja au nyingine imefanikishwa hapo mezani na kangomba.Pole sana Mkuu..ila hiyo uliyokuwa unafanya ndio KANGOMBA..yaani unanunua korosho kwa mkulima kwa shilingi 1000 ili wewe uje kuuza kwa 3300. Japo umesema hukuwa unawalazimisha ila ulitumia shida za wakulima kujinufaisha. Suala lako linafanana na utetezi wa kufanya mapenzi na binti chini ya miaka 18, hata kama ulimtongoza na kukubaliana lakini sheria itakuambia umebaka.
Washachukua.hapo halipwi mtuBaba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Kila mnunua korosho anajua ni biashara kificho na ndiyo maana mwenyeji lazima ausike sasa wewe ulipoulizwa ukasemaje?mimi nina mtu alikuwa na tani 40 kazigawanya kwa wenyeji wakulima.wewe magendo siyo kazi yako au ni stori ya willy gamba.Unaionaje Mkuu, ni ya uongo au ya ukweli? Umejuaje kama uongo au ukweli?
hayo mahindi wanakopeshwa pembejeoMbona mahindi watu wanunua maelfu ya magunia na wanauza sehemu nyingine serikali haihoji? Kwani korosho ni haramu ? Aibu kubwa kwa Utawala huu wa kihuni na udikteta?
Hata kama ni ya uongo,lakini si wapo wanaopitia hiyo situation?Ukiwa muongo inabidi pia ujue namna ya kuandika uwongo uliokaribu ma ukweli!
Hii story yako utawaokota nyumbu wengi!
POLE MTU MMOJA ATAITWA RAIS MSTAAFU 2020 THEN BM K ANATAKE USUKANI.Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Toka lini sheria zetu zinakaza mtu kuwa middle man. Kila zao ulinunualo sokoni hzlitetwi pale na mkulima bali ni mlanguzi aka mchhuzi au middle man. Kwa taarifa yako hata nyama ya kuku unakula mezani kwako kwa nzmna moja au nyingine imefanikishwa hapo mezani na kangomba.
Hii biashara ipo kitambo, ipo kwenye korosho, ufuta, alizeti, viazi machungwa .n.k. Soko la mazap haliko rasmi, pia mkulima akilima na akivina anahitaji pesa kwa ajiri ya matumizi mengine, mwenye pesa yake hakatazwi kununua, na pia hivi serikali imepata wapi mamlaka ya kunyang'anya mali ya mtu? Si wasinge nunua korosho zake tuu.Kila nikirudia kusoma humo nilipoweka Red naona sielewi kama ulienda kwa lengo la kwenda kununua korosho huko kusini au ulikuwa unapita tu ukaombwa na wakulima wa korosho ununue korosho zao?
Hivi ukimkuta teja ana msokoto akakuomba akuuzie ana kiu ya maji nawe ukanunua ukakaa na msokoto dola ikaja ikakukuta nayo utajielezea vipi?
Aliyekutwa na ngozi ndiye mwizi..! Wewe ulienda kusini kulangua korosho na ulanguzi ni kosa.
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.
Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.
Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).
Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.
Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,
Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.
Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.
Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.
Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Bihashara=biashara; gafra=ghafla. No further comments
mkuu sema kitu unacho fahamu sio porojo hakuna iyo biashara kwenye mazao yanayo simamiwa na ushirika ambayo yamechukuliwa pembejeoHii biashara ipo kitambo, ipo kwenye korosho, ufuta, alizeti, viazi machungwa .n.k. Soko la mazap haliko rasmi, pia mkulima akilima na akivina anahitaji pesa kwa ajiri ya matumizi mengine, mwenye pesa yake hakatazwi kununua, na pia hivi serikali imepata wapi mamlaka ya kunyang'anya mali ya mtu? Si wasinge nunua korosho zake tuu.
Badala umshauri apambanie haki yake kama Mungu anavyotaka wewe unasema Mwenyezi Mungu atamlipia ,kwani mungu ndo kamdhulumu hizo korosho zake ?pole sana, Mwenyezi Mungu Atakulipa.
Miaka hii kitengo cha propaganda uchwara mna kazi kweli kweli.Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.