zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,355
- 9,863
Hii ndio hali halisi ya maisha hapo ukitia starehe utautafuta ufisadi tuu !
mkuu acha kusema kabisa, wabongo wengi asaivi wanamaliza mishahara kabla hata ya mwisho wa mwezi, mtu anafanya kazi akijua kabisa mwisho wa mwezi pesa yote anaenda kulipa madeni.