Serikali imelala, miezi 3 ijayo tunaangamia

Serikali imelala, miezi 3 ijayo tunaangamia

Kwa kuwa hivi sasa tuna tumia machapisho mawili ya noti ,ngoja tusubiri kwa kuwa rais wetu na serikali yake ni wavivu wa kufikiri,tutasikia noti ya 50000 na 100000.
 


2nv4iac.jpg

Mbona umezifunga kila bundle lina buku 7 x 16 = 1,120,000/= we ni noma!
 
Safi kabisa! Tesekeni hadi mtakapoacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Mnanapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama kama vichaa!
 
Duh! Leo tupo kwenye 1USD= 1840 TZS..kweli miezi mitatu ijayo tutakuwa hapo!! kazi ipo!
 
Back
Top Bottom