Mkuu inaelekea ulipitia samaki samaki mlimani city !!!!
kaka unatisha!kumbe na wewe umezihesabu kama mimi?assumption,.kila alipokunjia elfu kumi ni laki moja...Milioni moja na laki sita na usheee hivi. Dah, bongo pazuri...
Mkuu inaelekea ulipitia samaki samaki mlimani city !!!!
mkuu nikikupa mchanganuo wa matumizi ya jana utachoka, kwanza nilipigwa mizinga na wadau wangu wa karibu utafikiri waliotea kuwa jana nilipata hela, mbaya zaidi kwangu nikipata hela na kuna watu wamenililia shida itabidi walau nimtoe hata na buku 5 hata kama kaomba buku 50, hizi tigo pesa na M-pesa zinachangia sana hela isikae, mara kakupigia mshkaji wako au ndugu yako amekwama sehemu anaomba umuokoe (hata kama sio kweli) anakwambia umtumie fasta hata kwa tigo pesa au m-pesa, huwezi kusingizia eti benki zimefungwa, looh! vocha za simu, umeme, maji, nauli, mafuta ya taa, mkaa, sukari mtaani kwetu inauzwa 2800/= kilo 1, acha tu kiongozi, mbaya zaidi uwe na wadogo zako waliopo vyuo vikuu hawajapewa bumu, ndugu yangu tuishie hpo tu. kwa ufupi laki 3 jana imebaki buku 40.
Milioni moja na laki sita na usheee hivi. Dah, bongo pazuri...

safi sana.
Ivi Gadafi na JK nani anastahili kutimuliwa madarakani?
N a bado hujatoa fungu la kumi kwa Mungu?