TEMPOLALE
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 302
- 107
JK nchi imemshinda na kwa kulitambua hilo amekuwa mjanja sana kapandikiza watu, kuwabeza wanaom-challenge kwamba ni wadini na wanamuandama kwasababu ya dini yake hivyo kuwafanya wanaomsifia Mkapa kwamba alijitahidi waonekane wanawabeza waslaaamKwa kweli wameshindwa kusimamia uchumi. Mkapa alipoondoka aliacha macro economy ikiwa stable, kazi ilikuwa ni kuhakikisha the tricle down of the effect. lakini sasa hivi hata macro economy imeshatetereka kwa kiasi kikubwa; angalia inflation, angalia thamani ya shilingi... it is time the go before things get worse