Serikali imelala, miezi 3 ijayo tunaangamia

Samahani mkuu kama ungenisaidia source ya hii projection inatisha sana mkuu!! I real dont know where this nation is heading to!!God forbid!!!!
 
nimepitia baadhi ya madukaq yaliyokwishafungulia leo mitaa ya dsm, USD 1 inasoma TShs 1865/-
Wakati inasoma hivi nadhani na mzigo wa deni la taifa unazidi kus-escalate
.
 
na bado cha mooto tutakiona, Mungu mkubwa
 
kazi kweli kwelil!beno ndulu na wasaidizi wake huko B.O.T wanaafanya nini maana hii ndio kazi iliyo waajiri,sasa hakuna lazidi kuwaonndosha madarakani kwa kutumia sanduku la kula.
 
Serikali imeshindwa kazi. Imebaki kwetu sisi wananchi kufanya maamuzi, nayo ni kuiondoa kwenye utawala ama kwa kura au mapinduzi
 
Labda Prof. Lipumba ateuliwe kuwa Gavana wa Benki Kuu hali inaweza kubadilika maana inaonekana Prof. Ndullu hajui afanyaje. Na wakati mwingine kuwa mtu anaweza kuwa msomi sana kwenye makaratasi lakini kwenye utendaji akaonekana hawajibiki sawasawa na taaluma yake.
 
Jamani tuwe na mawazo mapana kidogo kwenye haya mambo, kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya Pazia na kuna uwezekano mkubwa kwamba yanayotokea yako nje ya uwezo wa Prof Ndulu na timu yake. The whole system needs changes and it should happen the soonest possible. Tukumbuke pia kwamba tunaeleka mahala ambapo ili CCM isemekane imerekebisha mambo itabidi kuuvua ubazazi wake wote, na hilo ni gumu maana huo ubazazi umeshikana na CCM kama ngozi ya mamba kiasi kwamba ili huo ubazazi uwe umetoka basi matokeo yatakuwa ni kifo. Hili halikubaliki sio tu na CCM bali mtu yeyote yule anayeona kifo kikimjia, kwahiyo binafsi natabiri hali yetu itazidi kuwa mbaya hadi kifo cha asili cha CCM kitakapotokea ama sisi wenyewe kwa nguvu zetu tutapoamua kuiua CCM kabla ya kifo chake cha asili.

Mwalimu aliyasema haya lakini wao waliyaona kama porojo ambazo si kazi kwao kuzigeuza-geuza na kuzichezea kama mpira wa Yanga na Simba, leo hii kuna wakati suruali za JK hazikai kiunoni zinaanguka maana hajui afuate njia ipi kujinusuru yeye mwenyewe, achilia mbali kuinusuru CCM ambayo anaona wazi inaeleka kupasuka akiwa ameishikilia kwa mikono yote miwili. Waafrika wengi tumezoea kuongelea mambo mengi makubwa na ya msingi kama hadithi za vijiweni, leo hii pamoja na TBC kutumika kuisafisha serikali kwa nguvu zote bado wanajikuta wakijichanganya sehemu nyingi kwa kuweka hotuba nyingi za Mwalimu ambazo zinapingana waziwazi na mambo yaliyowahi kufanywa ama yanayofanywa na viongozi wetu walioko madarakani.

Eee Mola, tunakuomba uwaamshe watanzania wadai haki zao maana hakuna dalili za watawala kutoa haki kwa watawaliwa bila watawaliwa kuidai haki hiyo kwa nguvu zao wenyewe. Haijalishi ni njia gani itatumika kudai haki, lakini yahitajika sana watawala kujulishwa wazi kwamba watawaliwa sasa wanataka haki zao.
 
Tunapojadili hoja humu jamvini tuangalie na uchumi wa Dunia kuliko kuangalia shilingi tu. The World economy is shaking all over... why not TZ.
 
kwa hiyo unashauri nini kifanyike?
 
Tunapojadili hoja humu jamvini tuangalie na uchumi wa Dunia kuliko kuangalia shilingi tu. The World economy is shaking all over... why not TZ.

kwa hiyo unashauri nini kifanyike? Wakati nchi amabazo uchumi wake umeporomoka kama greece na marekani zipo katika economic reforms, nchi yako wewe inachukua au imechukua hatua gani?
 
Ni wakati sasa Kikwete akamuondoa Mkulo kwenye Wizara ya fedha haraka iwezekanavyo

Mpita Njia,rudisha ile avatar yako ya Twiga bana!Lol!

Back to the point,Mkulo kuondolewa haitasaidia lolote.

Kwa kifupi nchi yetu ni masikini.Na kwahivyo mara nyingi uncertainity about future value of our domestic currency is always there.

Hilo linasababisha nonfinancial firms,banks pamoja na serikali yenyewe ku issue debt dominated in foreign currency ie US dollars rather than domestic currency.

This also leads to decline in the price level.Kwa hiyo unaweza kuona kuwa,kwasababu mikataba ya madeni yetu iko dominated in foreign currency,and when the domestic currency declines,then the debt burdens of domestic firms increases.

Na since uwezekani mkubwa ni kwamba our ASSETS are typically dominated in domestic currency,balance sheets za makampuni yetu zita detoriate,pamoja na declination of its networth.

Kwanza kabla hata ya financial institutions kuwa na less resources for lending.Bado kuna tatizo kubwa la umeme ambalo lina discourage investments.

Binafsi sijawahi kuamini kwamba uchumi wetu uko hai.

Uchumi wetu una chracteristics zote za depression and even more.Yani hakuna hata jina la kuupa.

Kwasababu tuna act kama nxhi yetu inaendeshwa kwa viwanda which is not true,kilimo which is also not true.Kwahiyo kufanya analysis inakuwa ngumu.

Ni uchumi "Shaghalabhagala"

Financial crisis yoyote huanzia stage one ambayo ni mismanagemenent of financial liberization.

Hili kwetu limetokea tulipofungua milango kwa wawekezaji,hii proccess inaitwa "Financial Globalization" Ambapo hata mabenki yetu sasa yanaruhusiwa kukopa kutoka abroad.

Hizi benki zinalipa high interest rates ili kuweza ku attract foreign capital,hivyo hiyo inapelekea wao kukopa zaidi na zaidi.

Hata hivyo mwisho wake si mzuri kwasababu it leads to banks balance sheets deterioration.Hence cutting down on their lending.

Stage ya pili ni currency crisis.

Kutokana na baadhi ya ama yote yanayotokea kwenye stage 1,washiriki wa foreign exchange market wanaona kuwa wana opportunity kwani wanaweza kutengeneza faida kubwa sana tu just kwa kutabiri kuwa pesa itashuka thamani hence stage 2 which is currency crisis

Sasa swali linakuja hapa,ni kivipi detoriation ya banks balance sheets inaweza kusababisha currency crisis?

Ukweli ni kwamba serikali hapa inaogopa kufanya kama alivyofanya Mkapa alipokuwa akijaribu kudhibiti mfumuko wa bei.Kwa kupandisha interest rates.

However,kama serikali itapandisha interest rates,then ina maana banks must pay more to obtain funds.

Hili linapunguza faida za benki,which may lead to insolvency.

Kwahiyo hapo benki kuu na serikali wako kwenye dilemna,kama wakipandisha interest rates too much,basi they will destroy the already weakened banks,and if they dont,then that means they can't maintain the value of their currency.

Na kwajinsi ninavyoona,serikali imeamuwa kufuata policy ya devaluation.

Hilo litawezekana only kama benki kuu ita exhaust holdings of foreign currency reserves.

Wakishaishiwa na resources za ku intervine kwenye foreign exchange market,basi hawana njia zaidi ya ku allow devaluation.

Govt Fiscal imbalances pia ni mojawapo ya factors zinazoweza ku trigger financial crisis.Kwasababu zina pelekea kudorora kwa banks balance sheets.Hapa pia fiscal imbalance inaweza ku directly trigger currency crisis.

When govt budget deficits spin out of control,foreign and domestic investors begin to suspect that the country may ot be able to pay back its govt debt and so they will start pulling money out of the country and selling the domestic currency,which can eventually collapse it.

Stage ya 3 ambayo ndiyo full fledge financial crisis inatokea mara baada ya mikataba ya madeni sasa majority yake kuwa in foreign currency ie dollar.

Hili linapekea deni letu kuwa kubwa zaidi in terms of domestic currency!Yani pesa yetu inapozidi kushuka thamani,basi deni letu linapanda in terms of our devalued currency!

That is, it takes more Tz shillings to pay back the dollarized debt!Na kwasababu bidhaa nyingi ziko priced in a domestic currency,thamani ya makampuni haipandi in terms of tz shillings.

Wakati huo huo deni linapanda i terms of tz shillings kwa sababu shilling inashuka thamani.

This leads to depreciation of domestic currency which in turn increases the value of debt relative to assets,hence the declination of the firms networth.This leads to decline in investments and economic activities.Again,binafsi naamini umeme pia unaplay part let alone hizi facts!

Kwa kifupi kwasababu madeni mengi ya kwetu yanashikiliwa kwa foreign currency kama dola,basi pesa yetu inaposhuka thamani,deni lao linapanda in terms of domestic currency yetu licha ya kwamba thamani ya assets inabakia pale pale.

Hili mwshowe hupelekea mfumuko wa bei kama mnavyoona kwasasa.

Kwamba Mkullo atasaidia hapo?Ni kutizama tulipojikwaa.Tatizo ni serikali yote.

Ni lazima tujuwe kwanza asili matatizo yetu kabla hatujataka kuyatatua.
 
SAFI SANA! nataka ifikie hadi shiling 10,000., kwa dollar 1.. Ili akili iwakae vizuri.
ndugu sijui km hawa watu akili zinawakaa vizuri coz km kweli wangekuwa watu wanaojali wangeshachukua hatua.we sema cc akili ndio zitatukaa fresh.
 
2nv4iac.jpg

Bado kidogo, bado kidogo. Hoya we, hoya we. Hakika hapa tumeliwa.
 
Asante sana, asante kwakweli ...!
 
nchi inaendeshwa na wapambe km akina wasira,mkulo.kombani ambaye aliye mpa ajira shemeji yake frm 4 failure jiji la mwanza km mtaalamu wa idara ya maji hebu niambie nani mshauri wa rais ktk mambo ya uchumi,kilimo,afya,elimu,ulinzi zaidi ya hao wanasiasa na wengine hawana shule
 
.kombani ambaye aliye mpa ajira shemeji yake frm 4 failure jiji la mwanza km mtaalamu wa idara ya maji hebu

panahusika sana,kumbe ndo mana amoeba inatisha vibaya sana mwanza???
yani ni wazembe kishenzy idara ya maji mwanza
 
Back
Top Bottom